Habari wana jamii
kwa wale anaohitaji hudma ya printing na Photocopying, Napenda kuwataarifu kua tunatoa huduma ya kuprint na copying za kawaida, tender document, michoro ya ramani na kadhalika, size ni kuanzia A4, A3, A2, A1 na A0.
Office zetu zipo Kijitonyama, akachube road karibu na somys...