Recent content by Cabeny

  1. C

    Wahindi wananyanyasa wafanyakazi wazawa makazini

    Kuna haya makampuni makubwa yanayomiliki viwanda na biashara nyingine kubwakubwa yanaleta wahindi nchini kufanya kazi, kwanza hatujui kama wanakuja kihalali au la. Na wakifika makazini wanapewa nafasi za juu, na ikitokea umegoma kumsujudia jua kazi hauna. Serikali ianze kuwafatilia hawa watu...
  2. C

    Majigambo ya Mtoto wa Rais na 'Precedents' za Viongozi Watangulizi

    Mwenye video anitumie what's app, YouTube imetolewa
  3. C

    Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    Mwanza wenje kapewa jimbo, ni vurugu vijana wanafuraha
  4. C

    GE2015 Lowassa: Viwanda bila elimu ni sawa na kazi bure

    Na kama tujuavyo Tanzania ina uhaba wa wanasayansi, ajira zimekua ngumu kwani majority tunasoma masomo ya arts so mzigo unakua mkubwa kwa sekta zisizo za kisayansi. Ni aibu kwa nchi kama Tanzania kutegemea failures kuwa walimu, na hiyo yote ni sababu ya maslahi mabovu katika sekta ya elimu...
  5. C

    Monduli ipo nyuma kimaendeleo kuliko sehemu zote

    Hata Butiama kwa Mwalimu ni hivyo hivyo, sa ndio utambue tunachagua rais yeyote asiye mbinafsi
Back
Top Bottom