Recent content by C_O

  1. C_O

    Ramani ya Afrika mwaka 1959

    Sio healthier over the long run kwasabab ikikipindi atkuwepo mgufur na kupiga vita sana rushwa but atakae kuja rushwa itakuwa wide spread kwa mara nyingne koo atakama magufuri itafanya maendeleo flan kwa baadae hyata onekana yatakuwa destroyed na labda bad kiongozi atakae kuwapo kwa wakati uo...
  2. C_O

    Ramani ya Afrika mwaka 1959

    Naona watu wengi wanaii highlight Ethiopia tu ila growth rate ya Tanzania haina tofauti na ile ya Ethiopia wote tuna range 6-7% Indeed Ethiopia has huge potential nami nakuungaa mkono kwa baada ya miaka kumi from now itakuwa mbali but notice kwamba Tanzania haipo nyuma kwa hilo kama tutakuwa na...
  3. C_O

    Kwa serikali kununua/kumiliki/kuendesha airtanzania ni kupoteza mda???

    Ukiangalia na kiuchumi pia case study kama za Canada na New Zealand mwanzo gvt ndo ilkuw ina own na kuoperat airline zao na xio airline tu ila baadh ya business pia ila kweny transformation zao waliziacha na kuwa private owned leo izoo nchii zina onekana ndo prosperous dunian n kuigwa na nchi...
  4. C_O

    Kwa serikali kununua/kumiliki/kuendesha airtanzania ni kupoteza mda???

    Nimeona watu wengi wakiongerea hiki kitu pia baadhi wakisema sio muimu kwa serikali kuendesha shirika ilo kibaya zaid ni kwamba inaonesha san ilo shirika lina endshwa kisiasa sio kibiashara though ni msaada kwa jamii sas ww mwana jamii una neno gan kweny ilo
  5. C_O

    Wewe kama entrepreneur unajifunza nini kutoka kwenye shirika la Amazon??

    Amazon najua ni shirika ambalo haliitaji utangulizi mulio wengi mnalifahamu pia na shughuli zake... Muanzilishi wake pia kwa sasa haitaji utangulizi labda kwa watu ambao hawamfaham anaitwa jeff bezos na ndio tajiri wakawanza duniani kwa utajiri wa zaidi ya dollar 130 bilioni.. Nirudi kweny...
  6. C_O

    Nianze kutangaza Facebook page au kutangaza tovuti

    Nazani jibu la swali lako lipo kwako haswa maana unaweza boost tovuti yko ukapata visitors lakn sio targeted one na wakawa wengi tu afu hawabring revenue yeyot.. Nazani chakwanza define who is your customers ni watu wa aina gani either age education level na vitu vingne zen itakupa urahisi...
  7. C_O

    Kwa wenye uzoefu wa kutumia uganga katika biashara

    Ao watu wataweza kunifanya nikawa kama jeff bezos au nikawa na utajiri wnye thamani ya trilion 300 za kitanzania ??..
  8. C_O

    Kwa wenye uzoefu wa kutumia uganga katika biashara

    My friend kumbe unawaangalia hao wanautajiri gan wakuanza kukupa mawazo hivi ukimfuatilia abrahmovich si utasema yule ndo shetani kabisa maana yeye spending yake tu unaogopa unaambiwa ana yatch yenye thaman ya dollar 1.1 billion io ni sawa na 2+ trilioni za kitanzania sas kwel wa kariakoo...
  9. C_O

    Kwa wenye uzoefu wa kutumia uganga katika biashara

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 This is Tanzania look how we think na..... serious tambua that is ignorance wa hali ya juu yet utaniambia umesoma, itakuw vzuri kama utakuw hauna degree maan utanifanya niixhuxhe hazi degree wakati haistail, pia ni bora kama ww n mzee ila kama nikijana duuuuh tuna hali mbaya
  10. C_O

    Unataka kuanzisha biashara mpya? Chunga mambo haya

    Hamujiuliza kwanini kume kuwa na idadi kubwa ya immigrants from asia na most of em ni businessmen/women now csemi kwamba ni kitu kibaya hapana tena tunawaitaji weng tu waje kuwekeza kwasababu wazawa hawawezi na n because of fikira and ingorance tulio nayo. Like serious wameon kuna opportunity...
  11. C_O

    Unataka kuanzisha biashara mpya? Chunga mambo haya

    Infact mtu yupo kweny biashara and nae anajiita mfanyabiashara but hajui income statement ni nn, balance sheet n nn,his/her business industry, how tax work how he/she suppose to pay it, market niche,market strategy,management structure pia anaon vigum kuwa contact watu ambao n pro kweny field...
  12. C_O

    Unataka kuanzisha biashara mpya? Chunga mambo haya

    In accordance to mtoa maada kaanza na kusema research/report ya Bloomberg so cjajua kama io research ili husisha small business za kibongo.. ambapo ukiangalia vzur the way wabongo wanavo conduct biashara it is obvious different from state or Europe ata asia vle vle, though kuwapo na duka au...
  13. C_O

    Unataka kuanzisha biashara mpya? Chunga mambo haya

    Duu duuuh this is Africa look how we think na..... thats not business
Back
Top Bottom