Katika ulimwengu wa leo taarifa ndio bidhaa ya bei ya chini. Taarifa zinapatikana kwa bei chee. Watoto wanapata taarifa nyingi lakini ni kazi ya mzazi kuwaeleza usahihi na kuchagua ni katika chanzo gani mtoto akapate taarifa.
Ni
Mtoto akiwa na hasira na wasiwasi hawezi kujifunza. kifuniko cha...
Mtoto akiwa na hasira na wasiwasi hawezi kujifunza. kifuniko cha juu cha ubongo Cortex hujifunga katika mazingira ambayo mtoto anawasiwasi na hasira. Kwa hiyo katika hali hiyo hawezi kuelewa Chochote; mtoto hujifunza vema katika nyakati walimu na wazazi wamejenga mazingira rafiki na salama...
Jimmy Lee Swaggart muhibiri kutoka Nchini Marekani na Mjuzi wa muziki. Nilichelewa kumjua Jimmy Swaggart lakini Punde baada ya kumfahamu uelewa wangu juu ya maandiko Matakatifu, juu ya msalaba na Juu ya wokovu uliabadilika kabisa.
Moto wa kuhubiri injili uliwaka ndani yangu. Niliamua kuanza...

Ripoti ya George Land wa NASA 1960 Inawezekana ndio ikawa muarobaini wa matatizo yetu yote kama nchi ambayo msingi wake ni aina ya elimu. Katika utafiti huo George Land aligundua mfumo wa elimu ndio unaua ubunifu kutoka 98% hadi 2%. Ni utafiti ambao waziri wa elimu hapaswi kulala bila kuuwaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.