Katika taarifa zetu tulizozipata Toka kwa wadau wetu ni kuwa takribani wiki mbili Sasa tangu CIVILIAN-COIN awasilishe Nyaraka za kubadili jina la kwanza kwenye NIDA iliyopo. Nyaraka tulizoziona ni Deedpol ya kiapo Cha mahakama ya Wilaya Kahama, affidavit of signature, Gazeti la Serikali la...
AMANI HAIPO SAWA.
Kwa mjibu wa Civilian-Coin:
"Nchi ni yetu lakini Sheria inatuzuia kuishi Kama Wananchi eti Viongozi ndio wanaishi Kama raia halali. Ndio maana watu huandamana au kufanya vurugu". Civilian-Coin
Magazeti haya yote matatu hutoka kila moja na muda wake, BongoFlava hutoka Mara Moja kwa wiki, Celebrity hutoka Kila baada ya siku mbili na ASUBUHINEWS kwasasa ni Mara Moja kwa wiki. Kampuni binafsi ya C-C Digital Pro ndio huratibu Kila kitu online Chini ya Mkurugenzi na Chief Editor wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.