Mkuu pole sana kwa changamoto magonjwa ya ngozi yanahitaji utaalam wa hali ya juu kuyatibu kwa ufasaha nakushauri uende Regency Hospital kamuone Prof. Mgonda anaweza kukusaidia huyu jamaa ni fundi alinisaidia shida iliyonisumbia zaidi ya miaka sita.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajamvi habari,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu mimi ni IT professional nimeajiriwa taasisi binafsi ninae hitaji kusogea kwenye sayansi ya data kwa yeyote mzoefu alie katika kada hii tafadhali naomba awe mshauri na kiongozi wangu katika mchakato wangu kujifunza sayansi hii ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.