Recent content by Bwiru boy

  1. B

    JamiiForums Tanzania UKAWA wamegoma bunge kurekodiwa badala yake wanajirekodi kupitia simu na kurusha mitandaoni

    Tatizo ni kwamba kitakachorekodiwa na kurushwa huenda ni kile kitakachokuwa na maslahi kwa serikali na chama chake. Sitegemei kwamba michango ya wabunge wa upinzani itarushwa sawa na ya wabunge wa CCM. Bunge letu haliko huru, bado linafanya sana kazi ya kuitetea serikali hata ambapo sipo...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Takwimu matokeo Znz zinaongea zaidi ya maneno

    Nini tafsiri ya "Uchaguzi ulikuwa huru na haki"?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli muogope Mungu na tenda haki! Iogope siku ya hukumu

    Matatizo mengine watanzania tunajiletea wenyewe halafu baadaye tunaanza kulalamika. Sisi wenyewe ndo tunaanza kupandikiza mawazo ya udini na ukanda ndani yetu kwa kauli zetu baadaye tunakuwa wa kwanza kulalamika na kuwasema wapinzani ni wadini na wakanda. Mi nadhani kiongozi mzuri atateua kwa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye apata ajali Kilwa, alikuwa akitokea Dar kuelekea Lindi

    Pole nyingi sana kwa Nape. Mungu amjalie apone maumivu aliyoyapata aendelee na shughuli zake za kila siku, lakini pia atambue kwamba Mungu ndiye anapanga maisha ya kila mmoja, kuanza kwake na kuisha kwake.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, ajipima ubavu na Wana-Mwanza

    Duuuuu.... kama ni kweli basi huyu jamaa analitafutia jiji la mwanza matatizo makubwa.
  6. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mzee Emanuel Makaidi, Mwenyekiti mwenza wa UKAWA afariki dunia

    RIP Kamanda
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Magufuli jimbo la Vunjo: Lyatonga Mrema aungana na CCM kwenye kampeni

    Labda kwa sababu ya umri. Siyo jambo la kawaida mwenyekiti wa chama unaacha kumuunga mkono mgombea wako halafu unampigia debe wa chama tawala, maana ya kuwa mpinzani ni nini kama unamuunga mkono mgombea wa chama tawala? Kama siyo umri basi atangaze tu kuwa mwanachama wa CCM.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete na Dr. Bilal waongoza wananchi kuaga mwili wa Mch. Mtikila - viwanja vya Karimjee

    Tuweke tofauti za vyama na kimitazamo pembeni katika masuala yanayohusu vifo. Ujue unaposema maneno ya kejeli, au yanayoonyesha wewe kutoumizwa au kufurahia kifo chake kwa vile tu alikuwa na mtazamo tofauti wa kisiasa, ujue kuna wengine waliobaki wanaumia zaidi. Kwa kauli kama hii uliyoitoa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Zikiwa zimebaki wiki mbili pamoja na kutumia choppa, Lowassa ashindwa kuwafikia wananchi wengi

    Tunaomba data mkuu, kama ulivyosema magufuli kafika 79% ya majimbo yote, tuambie pia, mpaka sasa kawafikia wananchi wangapi katika majimbo mangapi? Vinginevyo nitaichukulia hii kama propaganda kama propaganda nyingine zilizopita bila tija yoyote.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa CCM Musoma Mjini kumtukana Lowassa

    Ni hoja dhaifu sana kuongelea afya ya mtu badala ya kuongelea udhaifu wake kiuongozi na kimaendeleo. Hata hivyo nadhani katiba yetu inazuia mtu mwenye ugonjwa wa akili kugombea, lakini magonjwa mengine haijazuia. Kiukweli, naona CCM haina jipya lolote katika kampeni hizi, badala yake sasa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

    Pumzika kwa amani, Mama Celin Kombani.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mpwapwa: Wanafunzi zaidi ya 630 wasomea Sakafuni

    Halafu unakuta wazazi wao wanaimba "CCM mbele kwa mbele" na kuipa kura.
  13. B

    JamiiForums Tanzania TIMU Magufuli tukutane hapa

    Edit post yako mkuu: Mwaka huu wapinzani mwaka huu, Mana, mgufuli, ilee------ndo nini? Au ndo unazidi kuaminisha watu kwamba CCM haitoi kipaumbele katika elimu ili iendelee kutawala?
  14. B

    JamiiForums Tanzania TIMU Magufuli tukutane hapa

    Mkuu umezisoma ilani za vyama vyote? Au ni mahaba ya kisiasa tu yanakuendesha? Hebu tupe tofauti ya ilani za vyama hivi (CCM V/s Chadema/ Ukawa) ndipo tujue kama ni ilani mbovu ama la! Vinginevyo tutajua umeongea tu na hujui chochote kuhusu ilani za uchagzi za vyama hivi. Au unashabikia chama...
Back
Top Bottom