Recent content by Bwii89

  1. Bwii89

    INAUZWA Bei za CCTV cameras kwa mfumo wa seti

    Akikujib nistue
  2. Bwii89

    Pombe gani nikinywa haina harufu mdomoni?

    Jobo ikoje? Alcohol na inatengenezwa ap?
  3. Bwii89

    Tatizo la network kwa Airtel leo tarehe 05/09/2023

    Airtel,the smatness network in the world! Hakatwi mtu!
  4. Bwii89

    Mikopo Kausha Damu ya Kimtandao

    Aloo,mi nilibugi nikaandika namba za watu wangu wa karibu kama wadhamini,mbona wanakiona Cha moto! Mi wakinipigia nablock muda huo huo! Walinipa mkopo maelekezo nilipe ndani ya mwezi 1 Cha ajab hata week haijaisha wanapiga sim na kutuma mameseji Yao sa kumi na Moja alfajir! Aloo kama hauna...
  5. Bwii89

    Hawa watoa mikopo kwa njia ya mitandao wanatuchukuliaje?

    Dawa ni kuchukua mkopo alafu block kubwa!
  6. Bwii89

    Hawa watoa mikopo kwa njia ya mitandao wanatuchukuliaje?

    Sema usipopikea simu watawapigia wadhamini wako mpaka wakome!
  7. Bwii89

    Hawa watoa mikopo kwa njia ya mitandao wanatuchukuliaje?

    Jamani hivi Hawa watoa mikopo Kwa njia ya mitandao wanatuchukuliaje? Kwanza siku mbili kabla ya mkopo wako kuisha wanapiga simu kuanzia saa kumi na Moja alfajir, Siku nzima,meseji za vitisho as if siku ya marejesho imefika,kilicho niudhi zaidi wanakupigia sim wanakushawishi lipa hiyo elf 22,440...
  8. Bwii89

    Nilivyowahi kutapeliwa na aliyejitambulisha ni polisi nikiwa jiji la Arusha

    Aloo nakushaur ama uache au upunguze kula visungura,vitakumaliza.
  9. Bwii89

    INAUZWA Bei za CCTV cameras kwa mfumo wa seti

    Kwa kiwango iko sio mbaya sana,mimi napenda haki,kwann uwaumize watu wasio na hatia ilihali wataalamu tumor humu?
  10. Bwii89

    INAUZWA Bei za CCTV cameras kwa mfumo wa seti

    Hizi unawapasua ngap?
  11. Bwii89

    INAUZWA Bei za CCTV cameras kwa mfumo wa seti

    Acha kuwaibia watu! Sio tabia nzur
  12. Bwii89

    INAUZWA Bei za CCTV cameras kwa mfumo wa seti

    Peleka upuuzi wako huko,unaonekana hujui unachokifanya.Sio Kila mtu humu ni boya kama ww
Back
Top Bottom