Sheria namba 11 ya 2009, inamtaka yeyote mwenye nia ya kuchimba kisima kuwa na kibali kutoka ofisi za bonde alipo mhusika. Tofauti na hapo faini isiyopungua laki 5 au kifungo kuanzia miezi 6 au vyote kwa pamoja vinahusika.
Hapo ni upande wa kuchimba tu, hatujazungumzia vipimo vya maabara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.