Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Muhambwe leo Tarehe 19 June 2025 amekabidhi Bati 200 Soko la Mabamba lililoezuka Tarehe 8/02/2024 baada ya kuwa lilikuwa limechoka Tangu kujengwa Mwaka 1983.
AFISA Mtendaji wa Kata ya Mabamba-Paschal Ngendabanka amekiri kupokea Bati hizo , wakiwepo...
Aendelea kuwakumbusha Wananchi wa Chalinze kuchangamkia mikopo inayoendelea kutolewa na Halmashauri hiyo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete Jana Mei 24, 2025 amekabidhi gari kwa kikundi cha Wajasiriamali cha Mshikamano kutoka Kata...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Ubia Sekta Binafsi na Sekta ya Umma (PPP CENTRE) na Mtaalamu wa Sera za Maendeleo, David Kafulila, amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki katika mjadala wa kihistoria kuhusu nafasi ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP) unaotarajiwa kufanyika...
Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) kwa kushirikiana na Taasisi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) imekuja na Kongamano la Wanazuoni kujadili mwenendo wa uchumi na nafasi ya Sekta Binafsi kuelekea Tanzania 2050.
Kongamano hili litafanyika Jumanne tarehe 27/05/2025...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete leo Alhamisi amefanya mazungumzo na Ujumbe wa Kiwanda cha Kutengeneza Cement Cha Dongote kutokea Mtwara walipokuja kumtembea Ofisini Dodoma wakiongozwa na Meneja wa Kiwanda hicho Nchini Bwana Adeyemi...
Leo Jumatano Aprili 30, 2025 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu -Ridhiwani Kikwete ametoa taarifa kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ya ukamilifu na utayari wa kilele cha Sherehe za Mei Mosi zinazotarajiwa kufanyika kesho Mei Mosi katika Viwanja vya...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence Samizi hachoki wala kupumzika kulipambania Jimbo lake ambapo anafanya ziara kila kukicha na Bungeni anapambana kutafuta maendeleo ya Jimbo.
Baada ya kufanya ziara kubwa na nzito ya kuzungukia Jimbo na kusikiliza kero za wananchi na...
Akabidhi Saruji mifuko 150, jezi, mipira, nyavu, shuka na kitanda kwa zahanati, magodoro 30.
Mhe. Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma katika ziara yake Jana Ijumaa Kata ya Kibondo Mjini ametunukiwa Hati ya Pongezi, kutokana na kazi nzuri alizofanya ndani ya...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Florence George Samizi ameendelea na ziara yake Jimboni ambapo Jana Jumatano Aprili 23, 2025 ilikua zamu ya Kata ya Kumwambu.
Ndani ya Kumwambu, Mbunge Samizi amekabidhi mifuko 50 ya saruji Shule ya Msingi Kwizera kwa ajili kuunga mkono...
Atoa Bati 30 kwa Wajasiriamali na mifuko 30 ya saruji ujenzi zahanati Nyange
🗒️JUMATATU 21 APRIL 2025.
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mhe. Dkt. Florence George Samizi, katika ziara yake leo Kata ya Mabamba ya kuwashukuru Viongozi wa CCM Kata, Tawi na Mashina kwa kushiriki vyema uchaguzi wa...
KISHINDO CHA FAINALI JIMBO CUP, MBUNGE SAMIZI AWAOMBA WANANCHI KUIUNGA MKONO CCM NA WAGOMBEA WAKE
Wananchi wamshukuru Mbunge Samizi kwa alivyo mstari wa mbele kwa michezo na maendeleo.
Mhe. Samizi, Mbunge amehutubia maelfu ya wananchi na mashabiki wa Mpira wa miguu wa Kata 19 zilizopo...
Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Singida ,Mhe Jesca David Kishoa amepinga vikali kampeni ya No Reform No Election inayofanywa na Chama Cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kikishinikiza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokufanyika mpaka pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi...
Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Singida ,Mhe Jesca David Kishoa amepinga vikali kampeni ya No Reform No Election inayofanywa na Chama Cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kikishinikiza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokufanyika mpaka pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi...
Waziri Mkuu , Kassim Majaliwa amewataka mabalozi kuiishi falsafa ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuimarisha mahusiano na kukuza diplomasia ya kiuchumi kati ya Tanzania na mataifa mbalimbali duniani.
Mheshimiwa Majaliwa amesema kufanya hivyo kutaiwezesha Tanzania kuvutia...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Mwenge wa Uhuru ni moja ya Tunu kubwa iliyopo kwenye Taifa kwani umekua kichocheo kikubwa cha maendeleo kwenye Taifa ikiwemo kuchochea mapambano dhidi ya ujinga, maradhi na umaskini kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.