Recent content by Bwana Mudogo

  1. Bwana Mudogo

    Kufanikiwa kesi ya wabunge 8 waliofutwa huku hapa

    Kwani kesi ya msingi iliyofunguliwa na upande wa maalim ya kupinga uenyekiti wa Lipumbavu ilishaamuliwa na mahakama?
  2. Bwana Mudogo

    Moses Machali aamua kurejea CCM. Adai CCM ya Magufuli si CCM ya zamani!

    Kama ukisikia na kuthibitisha kuna wanakogawana mpunga tani kumikumi usikae ukipiga kelele! Na wewe nenda ukagawiwe!
  3. Bwana Mudogo

    Je, Makonda kavunja mwiko?

    Post yote umepaona pa jina la Lema tu? Pole sana
  4. Bwana Mudogo

    Hili la Arusha linahitaji mjadala mpana, ukisoma barua ya wafadhili utajifunza mengi

    aliyepata aibu pale mbona anajulikana mkuu!, Na kila anayetumia kichwa kufikiri alijua hili!.Tusipotezeane muda au lengo unichezeshe faulo ndani ya sita?
  5. Bwana Mudogo

    Nimejisikia uchungu mkubwa, sababu nafahamu historia ya Mradi wa Hospitali ya Mama na Mtoto Arusha

    hakuna cha kusubiri muda uongee ! Kada wenu mwambieni aache propaganda kwenye maisha ya watu.
  6. Bwana Mudogo

    Nimejisikia uchungu mkubwa, sababu nafahamu historia ya Mradi wa Hospitali ya Mama na Mtoto Arusha

    Ujasiri na busara ni kumdhibiti kabla hajaaribu zaidi
  7. Bwana Mudogo

    Hili la Arusha linahitaji mjadala mpana, ukisoma barua ya wafadhili utajifunza mengi

    Watu wa Arusha hawapendi kulalamika na wala mtu anayependa kulalamika,Pale ni action tu.Ukifanya au ikithibitika unaelekea kufanya mambo ya hovyo unadhibitiwa kwanza hapohapo halafu mengine baadae.Lema level nyingine kabisa.
  8. Bwana Mudogo

    Upinzani mbona kimya?

    Wamepigwa 3-0 na nani mkuu? Ebu nijuze nduguyo
  9. Bwana Mudogo

    Waziri asema atahakikisha ongezeko la tozo kwenye miamala haliathiri mteja

    mkuu hadi 1200 inategemea na maeneo unayonunulia
  10. Bwana Mudogo

    UKAWA kazeni buti zaidi, mmebakiza sehemu ndogo sana kuifuta CCM Tanzania

    Huku uswazi mambo yanazidi kuwa murua kwa wapinzani kila kukicha huwezi amini mkuu,Ukweli ni kwamba waTz wa leo wana akili na wajanja sana.
  11. Bwana Mudogo

    Benki ya Dunia kutoa Bilioni 400 ili kusaidia Mradi wa Umeme Vijijini(REA) nchini

    Wanatupa bure au wanatukopesha? Nauliza ili nijue
  12. Bwana Mudogo

    CUF kufanya maandamano kushinikiza Lipumba kupewa uenyekiti

    Waliokabakia kubaini rangi halisi ya Lipumba nafasi nyingine hii imewadia kuigundua,Bado kidogo tu nayule mwenzake aliye kwenye fungate ughaibuni ataibuka kivingine pia.The matter of time.
  13. Bwana Mudogo

    Elimu yetu, Elimu yetu. Soma maneno ya Mh Magufuli.

    we hamisha tu magoli bt utaelewa tu
  14. Bwana Mudogo

    Mrema: Maalim Seif anafanya uhaini yafaa achukuliwe hatua haraka

    Kauli kama hz zikiachwa hujenga nyufa ktk taifa
  15. Bwana Mudogo

    UKAWA umebaki kuwa ukiwa! Kuntu Kikwete

    Haya ndo matatizo ya kupenda namba bila kujua hesabu! ccm bhana
Back
Top Bottom