Hata Mungu alisema kila amtafutaye kwa bidii atamuona.. Majibu mengi ya maswali magumu ambayo kila binadamu anawaza, either kwa kujiuliza au kumuuliza mwengine ni Mungu ndio anaweza kuyajib.. "ntakuonyesha mambo makuu na magumu usiyoyajua, science ni ya binadamu, ambaye Mungu alisema wanadam...