Recent content by Bwana Banzi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa mtu huru una enjoy Life. Ghafla unaambiwa umeteuliwa kuwa Ayatollah Iran. Unaoneshwa mashimo ya kuishi

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  2. B

    JamiiForums Tanzania Hii Hapa Orodha ya Mikoa 15 Inayoongoza Kwa Uchumi Mkubwa Tanzania "Regional GDP Share " mwaka 2025

    Mwanzo iko juu sana ukiitoa dar, anayepinga anapinga kishabiki. Dodoma kufika kwa mwanza bado sana
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hii Hapa Orodha ya Mikoa 15 Inayoongoza Kwa Uchumi Mkubwa Tanzania "Regional GDP Share " mwaka 2025

    Dar imeizidi mwanza mbali sana, ukitaka ufanye kikanda bado kanda ya mashariki inauchumi mkubwa, katika mikoa hii 15 uliyoweka, kanda ya mashariki yaani dar+ moro, iko juu ukilinganisha na kanda ya ziwa
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna ushahidi wowote Yesu alikuja duniani or it's just a conspiracy theory ya watunga stori?

    Kina socrates, plato, hawajawahi kuwepo?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna ushahidi wowote Yesu alikuja duniani or it's just a conspiracy theory ya watunga stori?

    Sasa ndugu story za kina Thales of Miletus (600 B. C), mvumbuzi wa umeme wa static electricity kama ulisomsa Physics zipo na alikuwepo huyo mtu, sembuse story ya yesu mnazaret ambaye alikuwepo juzi juzi before kina plato socrates ndo zipotee na uanze ku doubt, Yesu alikuwepo na ndo maana hata...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na wazee wa hizi kazi wawili tu. Saddam Hussein na Osama Bin Laden, Viongozi wa Iran wanachojua ni kupiga domo na kutegemea proxy wars,

    Hata Gadaffi walitumia miez 8 na wiki 3 kumtoa pale Libya, irani imekuwa mapema sana kumuua kiongoz mkuu
  7. B

    JamiiForums Tanzania 50% ya senta za kurusha makombola zimeharibiwa, meli vita 11 zote zimezamishwa, uongozi wa wenye mamlaka makuu umesambaratishwa, iran waombe pooh tu.

    Waluguru tunasema; ba mkude gangwe, kakimbizwa na simba kutoka porini kaja kuliwa mlangoni kwake. Japo kaliwa ba mkude lakin kapambana
  8. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald Trump aionya Iran!!

    Walitoa onyo kitambo sana
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ayatollah Ali Khomeini auawa baada ya mashambulizi ya Israel na Marekani

    Kuna mdau nilimwambia usilete imani ktk masuala ya ukweli, nikamkumbusha unamkumbuka msemaji wa Iraq alikuwa na mikwara mingi ila wakachapika? Akabisha nikatulia, nikamwambia sawa hao marekani sio wakuwabishia huwa wanatoa tahadhari kisha wanafanya kweli
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tumeshuhudia ufanano kadhaa kwa maeneo ya Uislamu na kile kimeandikwa kwenye Biblia, na desturi za Uyahudi na Ukatoliki. Unajua sababu?

    Tatizo lilianzia hapa: quran 72:1-3, majina wakasema . mungu wetu hana mwana, majini ndo wa mwanzoni kusema hvyo.,badae watu waka wafuata majini
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili wakristo mna la kujifunza

    Hata ktk bible ipo hvyo ,Kumb 21:23 ,maiti isikae zaidi ya saa 24. Wanaisrael waliambiwa
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tumeshuhudia ufanano kadhaa kwa maeneo ya Uislamu na kile kimeandikwa kwenye Biblia, na desturi za Uyahudi na Ukatoliki. Unajua sababu?

    Unajua kupitia mijadala yenu, imenibidi nifanye utafiti kwann waarabu wakristo hawatumii jina issa ktk bible, nikapata jibu kuwa issa lilikuwa jina geni hivyo wakabaki ni neno Yasu badala ya issa. Ina maana bible za kiarabu ni tongue kuliko quran
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tumeshuhudia ufanano kadhaa kwa maeneo ya Uislamu na kile kimeandikwa kwenye Biblia, na desturi za Uyahudi na Ukatoliki. Unajua sababu?

    Huyu mheshimiwa analeta ubishi wa mtaani, tumkazie anaweza kuikana hata hiyo quran
Back
Top Bottom