Recent content by Bwagamoyo

  1. B

    JamiiForums Neno La Leo: Kiongozi Wa Nchi Haui Watu Wake, Gaddafi Amewaua, Hana Aibu!

    Kwa hiyo mlitaka Gaddafi aondoke hivihivi tu?kama wananchi wanaandamana na kuvunja vitu na kuondoa amani katika nchi, serikali inyamaze tu? mbona Tanzania wameua watu kule zanzibar wakati wa uchaguzi ule wa nyuma?mbona TZ tena waliuwa wananchi kule Arusha muda si mrefu uliopita? Au hii ni...
  2. B

    JamiiForums 'Tahrir square' ya Dar ni wapi??

    Jangwani tutashindwa maana kama itabidi tukeshe pale siku kadhaa si tutakufa kwa malaria? maana jangwani pale ndiyo mass production ya ma mbu wa malaria, kwa serikali ya ccm wala haitohitaji kuleta jeshi kuwapiga wananchi, bali watatuacha tu tuliwe na ma mbu.
  3. B

    JamiiForums Kwanini napinga hoja ya Waziri Nyalandu juu ya Wachina!

    Mpaka wachina wafikie hatua ya kuuza kama wamachinga,watanzania wenyewe walikuwa wapi? watanzania ni wavivu bwana kazi kulalamika tu pembeni,kwa nini wasijaze nafsi hizo siku zote bila kuwapa wachina nafasi?wenzao wachina wamekuja tu na kuona loop holes wanazoweza kuzitumia, wakati waTz wenyewe...
  4. B

    JamiiForums Inakuwaje Rais ajisifu nchi kusaidiwa.

    ni upeo mdogo wa mawazo. jamani si kosa lake.
  5. B

    JamiiForums Polisi wavunja maandamano ya Wanafunzi UDSM; Watawanywa kwa mabomu ya machozi

    Gomeni na msiogope vitisho.Sisi tuligoma mwaka 1990 na mzee mwinyi alikifunga chuo na kuturudisha makwetu, lakini alipokifungua tena kulikuwa na mabadiliko mengi sana yale yale ambayo tulikuwa tunayadai waliyatekeleza, lakini kwanza huwa wanaona aibu kuyakubali na huwa wanataka kuonyesha kuwa...
Back
Top Bottom