Uchaguzi upi ambao unazungumzia bro! Hapakuwa na uchaguzi uhuni tu ulifanyika sasa hiyo second runner yakutokea wapi wakati hapakuwa na uchaguzi? Au ni second runner ya kupokelea Ruzuku. Tehe, tehe, CDM bana
Mgao wa pesa za Ruzuku ni zao la hesabu za kura halali tulizopiga so je mnakubali matokeo na mchakato nzima kura au njaa tu inawaponza kupokea pesa haram?
Ndugu unajua kumfariji mgonjwa. Unaona Kenge linatoka damu za masikio unazani litapona hapo. Tundu mwishowake wa kuropoka ni keshokutwa baada ya hapo kinga ya kumtukana Rais wetu aliyopata miezi miwili itakuwa imekwisha baada ya hapo arudi kwao Ubelgiji.
Acheni ujinga nyie CDM. Mnafikiri kuna mshabiki yoyote wa CDM ambaye atandika humu JF kwamba JPM atashinda uchaguzi? Hivyohivyo kwa washabiki wa CCM ndani ya JF hawezi kusema CDM itashinda Urais. Sasa mnachotakiwa kukubali ni kwamba muwe wavumilivu kusikia maoni au mawazo ya wapenzi JPM wakitoa...
Mimi napenda sana ambayo yananihusu mengi kayafanya. Nina watoto wangu wawili nilikuwa nawasomesha shule ya kulipia milioni 2 kila mwaka. Lakini Sasa nimewahamishia shule ya serikali natumia laki3 tu kwa kuwagaramia uniform na matumizi binafsi wanapokuwa shule.
Sikiliza ndugu hatakama una
Duu niko live hapa na TBC baada ya dakika tano tu Magufuli amekutana na nyomi lingine la wananchi. Yuko njiani anaelekea Babati Mjini. Kwasasa yuko mji wa Magugu. Kwakweli haya ni Mahaba kwelikweli.
Jamani siyo kwa mahaba haya. Wananchi leo wamemtamkia Magufuli live kwa sauti moja kwamba wanataka atawale miaka 15. Siyo propaganda niko live hapo TBC yuko njiani anaenda kwenyemkutano Babati mjini.
Haya lete maigizo yenu hapa, mnazani JF ni sehemu ya propaganda za kichovu Kama hizi. 28/10/2020 mapema tu asubuhi. Nafuraha Sana baada ya kugundua kwamba tume imetenga kila kituo kuwa na wapiga kura wasiozidi mia tano. Kwa idadi hii nadhani saa6 sita mchana wapiga kura watamaliza shuguli...
Hilo la wauza unga usiliweke that is the way too far. Labda uniambie kuna drugs lod wanashirikiana na Lisu au nimtuwao. Lakini ukweli utabaki palepale Magufuli atafanya wanders katika uchaguzi huu na kuweka historia yake. Leo nimewasikia watu kule Karatu wanaomba kama itawezekana JPM akimaliza...
Let me give you good explanation about veti feki. Hiyo siyo hoja kabisa. Wakifutwa kazi kwasababu ya veti feki elf10 tu. Waliajiliwa ajila mpya serikalini zaidi ya elf20 Sasa unaweza kuona hoja yako inavyojifia yenyewe upo ndugu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.