Mimi nazani wa kushukuriwa ni aliyekuwa katibu Mkuu wa Chadema kuisimamia vema taasisi mpaka ikajenga taasisi nyingine kama bavicha na Bawacha ambazo kwa kipindi cha miaka mitano Chadema chini ya uongozi wajuu na hususani utendaji mzuri wa Dr. Slaa uliibana serikali nje na ndani ya binge mpaka...
Mimi sasa naishi kwa amani kwani mungu ametuletea mtu sahihi nahatimaye naamini atashinda kwani yeyote afanyaye mazuri mungu humuongoza. Kazana baba kwan Taifa letu linakuhitaji.
Kwa takribani miaka 7 vyama vya upinzani vikiongozwa na viongozi wao wakubwa kwa nyakati tofauti vimekuwa vikiimba Neno UFISADI.
Lakini wakaenda mbali kwa kumtaja jina mh. Lowassa kuwa yeye ndo fisadi mpaka magazeti kama mwanahalisi ndo gazeti lililo ibua hoja hyo mpaka kwa kumtaja jina mh...
Sio tu kuomba radhi watanzania Bali wamuombe radhi mh. Lowassa. Na ingekuwa n mm ni lowassa baada ya uchaguzi ningewafungulia maxhataka mahakaman viongozi wote wa upizani na watu wote walio sababisha pengine ndoto yake isifanikiwe kwani wao ndo walioeneza chuki juu yake ndani na nje ya mahakani.
Nihivii Mnyika Lissu msigwa na prof.baregu na prof safari.wameshusha credibility at the highest level. Watu kama prof.baregu na prof safari niwatu walio tuaminisha na kujipambanua kama waadilifu lakni wameonekana kupwaya. Cjui nani kawaroga au wamekula maharage ya wapi? Wemeacha mtu aliyetaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.