Recent content by Butterfly_Me

  1. B

    Msaada: Nahitaji kujifunza udereva na kupata cheti pamoja na leseni kwa ujumla

    Kwa driving course itakayoendana na ratiba zako binafsi, nenda Amazon college iliyokaribu na unapoishi au unapopiga mishe zako. Gharama; Ada yao ni TZS 260,000/= kusoma na kupata cheti Then TZS 70,000/= kupata leseni. Jumla kuu: TZS 330,000/= Muda : Mwezi mmoja. ℹ️ Click below for more...
  2. B

    Hii kitu inasababishwa na nini? Au ni kuchanganyikiwa

    Hiyo ni issue ya kisaikilojia Inaitwa "Deja vu" I. Deja vu ("nakumbuka hii sehemu bhana") Deja Vu, huonekana pale mtu anapokuwa anahisi ameshawahi kufika eneo fulani ambalo hajawahi kuwepo (eneo jipya au geni) au anahisi anakumbuka jambo fulani lililotokea mahali hapo Mfano; unaweza pita eneo...
  3. B

    Je, Huduma za ARV zinatolewaje kwa diaspora?

    Habari za jioni, ninaomba kufahamu, Je, huduma ya CTC Clinic (ARV) inatolewaje Kwa diaspora wanaoishi na VVU? Kwa mfano mtu anayeishi na VVU akitoka Tanzania kwenda kuishi/kusoma/matembezi nchi za nje like USA, Canada, Japan, China, Germany etc Atatakiwa kufanya process gani ili aendelee...
Back
Top Bottom