kwanza nianze kwa kuweka sawa hili:-
neno Tobo kama lilivyo halina maana yoyote na si neno sahihi la kiswahili( tunaweza kuliweka katika common mistake in swahili).
kuna Toboa= kitendo
kuna Tundu= matokeo ya toboa
kama unakubaliana nami kwa maelezo yangu ya awali basi ni makosa kusema:-
toboa...
Tofauti hapo ni matumizi ya lugha tu.
1. ni lugha ya kimashairi_ili iweze kuimbika au kuleta upatanisho wa vina na mizani
2. ni Lugha fasaha( ya moja kwa moja)
Sentensi zote hizi ni sahihi-kutegemea na matumizi yako.
Hizi tungo nazipangua kama ifuatavyo:
1. Nyimbo yangu nzuri
Nyimbo=jina katika Wingi
yangu= Kivumishi kimilikishi
ya=Kiambishi cha awali cha idadi(moja)
nzuri= Kivumishi cha sifa na idadi(zaidi ya moja)
Kwahiyo katika upatanisho wa kisarufi tungo...
Tungo namba moja ndiyo iliyosahii yaani ndiyo kinyume cha hiyo tungo kuu.
Mahali hapa pana hela=kianachotakiwa kukanushwa hapa ni kitenzi pana.
Hivyo basi:- Mahali hapa pana pesa. Kanushi yake ni
Mahali hapa hapana pesa
2.Si mahali hapa pana pesa= katika tungo hii...
Kwa uelewa wangu
HURU -ni kutofungamana na upande wowote
BINAFSI- kwa ajili yako/ pekee yako(wewe tu)
Hivyo basi mgombea huru ni yule ambaye hana chama cha siasa yaani si mwanachama wa chama chochote cha siasa.
Mgombea binafsi ni mwanachama wa chama cha siasa lakini akaamua kugombea kama...
Kidogo inakubalika lakini haikidhi kiu ya muuliza swali
Itifaki= utaratibu wa jinsi ya kuendesha shughuli fulani kutokana na utaratibu uliowekwa.
mathalani katika shughuli za mikutano ni kiongozi gani anatakiwa kuingia kwanza kisha nani afuatie na nani awe wa mwisho kuingia katika sehemu ya...
Ingawa sio mtaalam wa kiswahili nachangia kama ifuatvyo:-
Kongamano=Jumuiko la watu wenye ufahamu wa fani moja katika kubadilishana uzoefu wao.
Warsha/Semina =Jumuiko la watu katika kupata melekezo ya kiutendaji juu ya jambo/kazi fulani
Mkutano=ni kutaniko la watu mbali mbali
Kikao= ni mkutano...
Tatizo la watu wenye mtizamo kama wako wanaogopa changes kwasababu huenda mianya ya kuiba itazibwa na hivyo watakosa kile walichozoea kupata kutokana na mfumo mbovu wa undeshaji wa nchi. ni dhahiri hata mafisadi watakuwa na wakati mgumu kama nchi hii ikibadili namna ya kujiendesha. katika...
Nafikiri suala hapa si kusafirisha Gas toka mtwara hadi Dar!! HT inaonekana uko out of touch kama unafikiri wananchi wa mtwara wanapinga gas kutoka nje ya mtwara. Taratibu wananchi wanaanza kuamka na kuona kuwa mgawanyo wa rasilimali hauko sawa katika nchi hii.
Kama tungekuwa na utawala wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.