Tulia wewe mpuuzi Mwalimu J.K.Nyerere muasisi wa taifa hili alitaka kupinduliwa mara kibao;Kwani Samia yeye ni nani nchi hii mpaka asitolewe madarakani!!
Samia aachie ngazi mambo mengine yaendelee,wenye nchi hawamtaki,period!!
Wanaropoka wakiumwa wanaenda kutibiwa kwenye hospitali za Katoliki;huku kanda ya ziwa Bugando isingekuwepo sijui hali ingekuwaje.Wanaachq kukaa chini na wao kuanzisha taasisi zao za afya na elimu kwa watu wao kazi kutwa kushqmbulia TEC,hawa jamaa ni wapumbavu sana!!
Utajiri una historia yake,mbona hawahojiwi watoto wa Bakhressa na anahojiwa Mtoto wa Samia.Kuna biashara gani Ikulu inayowafanya wamiliki magari ya mabilionea kule Ulaya na Marekani!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.