Recent content by Butoto

  1. Butoto

    BTP siku 14

    Ee wanamaliza jumatano na wao wataanza trh 14-05-2015 Alhamis.
  2. Butoto

    BTP siku 14

    Jamani wanajukwaa la elimu nimesikia kuwa wanachuo wa ngazi ya cheti na ngazi ya stashahada mwaka wa pili wiki ijao watakuwa na BTP ya siku 14 lakini nashangaa posho zao zinatofautiana kila chuo. Baadhi ya vyuo wameambiwa watapewa sh.2500/= kwa siku wakati vingine sh.3500/= Sasa swali hivi...
  3. Butoto

    Naomba kufahamishwa kuhusu Katiba pendekezwa

    Ndugu zangu naombeni mnisaidie kuhusu hii KATIBA yetu inayopendekezwa ina SURA ngapi na IBARA ngapi? Baada ya hapo ninaomba mnifafanulie kuhusu sura inayohusu Haki na Wajibu wa raia inakuaje. Naomba kuwasilisha kwenu
  4. Butoto

    Ajali: Mabasi ya Ngorika na RATCO yamegongana uso kwa uso na kusababisha vifo

    Du!! Mungu azilehemu roho za marehemu hao.
  5. Butoto

    Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) yaahirisha kura ya maoni

    Hapo iko poa mpaka kieleweke mwaka huu tumechoka kuburuzwa na serikali ya CCM .
  6. Butoto

    Audio: Askofu Gwajima awajibu Polisi Kuhusu kuitwa aende kujieleza

    Mkubwa kwani ww niaskari kanda gani maana unaonekana kufahamu sana kazi ya uaskari acha askari wafanye kazi yao na sio kuwafundisha wamung'ang'anie kwa lipi acha unafiki bro.
  7. Butoto

    Kakobe awachana live Nape, Rose Mhando, Mangula, Mwakyembe na Makonda

    Sidhani kama kuna mtu anayefahamu wokovu wa mwenziwe huo ni unafiki uliokithiri. Watumishi wa Mungu tafuteni njia nzuri za kulea kondoo wa Mungu sio kutaja majina ya watu .
  8. Butoto

    AJALI: Basi la Arusha Express lagongana na lori; hakuna madhara makubwa

    Tena Hao Madereva Wa Namna Hii Wanaoendesha Kama Wendawazimu Wapewe Adhabu Kali. Hata Wanyanganywe Lesseni Zao.
  9. Butoto

    Basi la Majinja lagongana uso kwa uso na Lori, Kontena laangukia Basi

    Mungu azilaze Roho za marehemu mahali pema peponi AMINA.
Back
Top Bottom