Recent content by but la jeshi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: M23 yawakamata Hackers kutoka Afrika Kusini

    Ile video nimeiona aiseee vita ni hatari yule jamaa ana kupiga na
  2. B

    JamiiForums Tanzania DRC: M23 wateka tena Kavumu Airport.

    Huu mziki uliofungwa congo mbona kama unafanana na muziki uliofungwa Syria? mpaka Bashiri Assad akakimbia
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hivi wanajeshi wa Congo wanajielewa kweli? Yaani wameiacha nchi yao wamekimbilia Rwanda kujificha?

    Wanajeshi wa kongo wamechoka hatari Kombat azieleweki na mabuti ya mvua kama wanaenda shamba
  4. B

    JamiiForums Tanzania Waasi wa Yemen (Houth) wakionyesha nguvu zao za kijeshi

    Hawa houth miaka ile ulikuwa unawaona na makanzu yao fulu vilemba sasa hivi mpaka unifom wanazo
  5. B

    JamiiForums Tanzania Maboresho ya mitaala ambayo yanaenda kubadilisha mfumo wetu wa elimu

    Hii nzuri sana aiseee..
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea Syria kwa Urusi ni kibaya na aibu kuliko kilichotokea Vietnam na Afghanistan kwa Marekani

    Sasa kama wanajeshi wa Syria awataki kupigana Urusi atafanyaje? ni kuwaachia zigo lako wenyewe waangaike nalo
  7. B

    JamiiForums Tanzania Urusi na Iran hawawezi kukubali serikali ya Syria itoke madarakani

    Duuuh kwaiyo ilani nae kaingia mzigoni hao waasi kazi wanayo sasa waamue wenyewe wazike au wasafirishe
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kamala Harris akiangukia pua, waliopanga kumtia adabu waangusha tafrija!

    Vipi kuhusu wale walikuwa wanavisifia vikatuni vya Simpsons?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nilisema BOT hawana uwezo wa kupambana na ma sharks wa mikopo ya mitandaoni. Riba bado ziko juu, usumbufu upo vilevile

    Kuna kampuni nilikopa baada ya kukopa nilikuwa mteja wao mzuri sana ,nakulipa kwa wakati, sasa baada ya kugundua ili iyo kampuni ikaniongezea kiwango tena jamaa akaniambia utalipa baada ya siku 21 omba kwanza tutaictvet system ukishaomba nitumie na skin shoot .kwenye whaatsap kusudi tukuongzee...
Back
Top Bottom