Recent content by busy bees

  1. busy bees

    Diamond vs Juliana Shonza - Plan ya kutusahaulisha 26/04/2018

    Je uliwahi kuona ama kusikia usemi ufuatao .... building castles in the air
  2. busy bees

    Free Abdul Nondo and Justice for aquiline

    I more than 100% second your opinions .... the poster truly reveals his/her COWARDICE and HYPOCRISY .....
  3. busy bees

    Hisia na hamasa za Maandamano nchini: Mapokeo, Mitazamo na Uhalisia (Viongozi na Wananchi)

    Yaani huu waitwa uhamasishaji maandamano kwa kutumia "mlango wa nyuma" ... sie yetu macho na "mashikio"
  4. busy bees

    Natamani Mama Samia Suluhu awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    "Ceteris paribus" ... ama hakika "elimu ni bahari" ... kiongozi tafadhali funguka kidogo hapo kwenye maneno mawili ya mwanzo
  5. busy bees

    Je! Mungu ni yule yule?

    I'll always stand FIRM according to what the HOLY SCRIPTURES say/reveal to HUMAN KIND
  6. busy bees

    Je! Mungu ni yule yule?

    Kiongozi mwambie tu ... Biblia yasema "MPUMBAVU" anaamini moyoni mwake HAKUNA MUNGU ....
  7. busy bees

    Je! Mungu ni yule yule?

    Hiyo SIMILE katika mfano namba 3 yadhihirisha WAZI kabisa kuwa mtoa comment ni mtu wa SHARI .... You could have AVOIDED such ABUSIVE LANGUAGE in delivering whatever message you intended to deliver ....
  8. busy bees

    Je! Mungu ni yule yule?

    Asante kiongozi na hongera pia kwa kuwa miongoni mwa GREAT THINKERS ...
  9. busy bees

    Je! Mungu ni yule yule?

    Hapo nimekupa TANO ... big up
  10. busy bees

    Je! Mungu ni yule yule?

    Purely SATANISM
  11. busy bees

    Je! Mungu ni yule yule?

    Kiongozi kubali kuwa mkono uliteleza kwa kuandika "Karanga" badala ya "Kiranga" kule ktk original thread yako .. mambo (hoja) mengine yako poa ..
  12. busy bees

    Je! Mungu ni yule yule?

    Swali lake si baya ... maana jina la mtu fulani lapaswa kusomeka vilevile lilivyo ili si tu kuleta maana halisi bali pia kuepuka "contradiction" pale linapokosewa ... That's my opinion, you may buy it or not ..
  13. busy bees

    Jeshi la Polisi: Abdul Nondo alijiteka na kujisafirisha mwenyewe mpaka Iringa. Ladai alifuata mapenzi

    Mleta uzi akikujibu kwa UFASAHA pasipo KUMUNG'UNYA nishtue na mimi
  14. busy bees

    Jeshi la Polisi: Abdul Nondo alijiteka na kujisafirisha mwenyewe mpaka Iringa. Ladai alifuata mapenzi

    Twaomba ku-balance story .... a) KAULI yako kuwa mtuhumiwa Abdul Nondo HAKUTAMKA POPOTE kwamba ALITEKWA bali ni kauli ya jeshi la polisi ..... b) KAULI ya mtuhumiwa Abdul Nondo aliporipoti pale kituo cha polisi Mafinga kwamba ALITEKWA ... Now which is which?
  15. busy bees

    Yupo wapi mwanadada huyu Makini wa kitengo nyeti?

    Kumbe msemaji mkuu wa Tanzania yetu hii kawa mange ..... where does she get the information?
Back
Top Bottom