Watanzania tutaficha wapi aibu yetu kwenye jumuiya za kimataifa yaani ni aibu!! mauwaji ya Albino yanayotokea nchini ni kielelzo kwamba watanzania na viongozi wao bado wana mawazo duni na ya kijima. Viongozi wa serikali na wabunge hawawezi kukwepa lawama za kushindwa kulinda usalama wa watu...
Hapa nina wasiwasi kama serikali ina nia ya dhati ya kuwaharisha wananchi. TBC haionekani kwenye free channels wakati tv za watu binafsi zinaonekana. Haiwezekani tv ya serkali ambayo wananchi wanachangia gharama zake kupitia kodi wasiipate bure.
Ukiwa na settalite dish huwezi kuiona tbc...
Walipoanzisha IPTL walituambia mgao utakuwa historia, walikuja netgroup solution walituambia mgao utakuwa historia, Richmond hivyo hivyo, songas, Aggrecco hivyohivyo na sasa Bomba la gesi toka mtwara na mitambo ya kinyerezi. Wataaminika vipi? historia imebaki kuwa historia.
Hawatusaidii. Wanajali maslahi ya kampuni za nje kuliko maslahi ya nchi yetu.km. Balali,Muhonngo nk.sijapata jibu huwa wanafanya kazi kwa maslahi ya nani.
Hawana lolote hawa ni mbinu ya kutaka wasilipe kodi ya mapato. Walitutesa sana walifungia sukari kwenye maghala bei ikapaa kutoka 1400 mpaka 3000.mh. Rais akaamuru sukari ya nje iruhusiwe kuingia nchini,bigup Kikwete. Acha wapigwe tu.
Ukiambiwa na kondakta ondoka kwenye seat yako na wewe ukakubali maana yake unasaidia kutenda kosa. Mimi huwa nakataa kusimama na hawanifanyi chochote. Tujenge utamaduni wa kufuata sheria. Ila naomba Magufuli afute mzani wa morogoro ni kero. Haiingii akilini gari lipime mikese halafu lipime tena...
Jambo ambalo halina ridhaa ya wananchi huonekana dhahiri. Kama dola na serikali itaendelea kuona kuwa mawazo yake ni bora kuliko ya wananchi nchi yetu haitakuwa salama. Serilali kufanya mambo kinyume na matakwa ya wananchi ni hatari. Katika kipindi hiki tunachotaka kufanya mapinduzi ya uchumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.