Lizibon tumekuchoka na habar zako za uongooo daaa mtuuu mzimaa ovyoooooo kesho sijui utakuja na habar ya nan we kila siku habar habar nenda ITV ukaombee ajira kila siku chikawe chikawe mwache mzee wa watuuu tatizo la timu membe amjiamin sijui kwanini kama mnaoga nje
Lizaboni usilete interest zako za team membe kwa kuwachafua watu wengne maana sasa kama ni hvyo unafanya hayo yote kwa ajili ya kuwafanya watanzania na wana ccm wamuone membe pekee ndo msafi ...mm sina team zaid ya kuwa team mzalendo ila kwa upande wa chikawe umeisha mkaa sana kooni maana...
Lizabon una jipyaaa membee mbona alisema atamuunga mkono mwandosya alipo kuwa mbeya.
Lowasa ajasema kitu chochote kile we unakuja na data zako za uongo na ukweli apa za kuambiwa mtaan auna fact .
Kwanza unabidi ujue mwanasiasa mmoja kumkubali mwenziee ni ukomavuu katika siasa we wawapi eeh...
Uoo ni uongooo akuna kitu apooo mnaanza kuchanganikiwa mapema iviii akuna kituuuu uongo mtuuuupuuu dawa itawaingiaa soon chikawe ni wazir ambae ana kashfa yeyote ilee asisingiziwe kwa baya lile lolotee ni wazir safiiii izoo habar za uongoooo na za kutungwa na kundi la watu flan ili kumchamfua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.