Recent content by BUSTA

  1. B

    JamiiForums Godbless Lema: Kuna siku mtavililia vyama vya Upinzani viwasemee hamtavipata

    atoke wapi wakati unamwona bado anaumwa
  2. B

    JamiiForums Mijadala ya Tundu Lissu na porojo zake zinawapotezea muda baadhi watanzania kuwajibika

    kwanini ufanye jambo linalokupotezea muda;tena wewe nahisi unanufaikanalo
  3. B

    JamiiForums Mbunge wa mchinga (CUF) aeleza biashara ya ununuzi wa wabunge yeye alihaidiwa mil 200 na unaibu waziri

    si ungewaongezea hata walimu mshahara jamani kwa matumii hayo
  4. B

    JamiiForums Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

    hahahahahahahahaha!usinichekeshe mie
  5. B

    JamiiForums Nashangazwa na kusikitishwa na wanaoshabikia ziara ya Lissu Uingereza

    "mwiba ulipoingilia hutokea palepale"
  6. B

    JamiiForums Rais suala la mafao sawa, lakini mioyo ya watumishi inahuzunika na kukata tamaa

    Naomba nitumie nafasi hii kama wadau wengine kumpongeza MH.Raisi wetu kwa uamuzi aliouchukua kuhusu suala la mafao kwa watumishi wanao staafu.nimeamua kuandiki hili kwa jinsi nyuso za baadhi ya watu wakiamini kwamba tayari raisi ametatua matatizo na kero mbalimbali za watumishi wa umma.uamuzi...
  7. B

    JamiiForums Naomba kupewa ufafanuzi ,Raisi mstaafu kikwete aliacha shilingi ikiwa 22100/=na sasa ni shilingi 23000/=kwa usd dollar

    nashukuru kwa kunielewa pia nishapost kukiri nimekosea,na nilishindwa kufanya mashahihisho kwenye post yangu
  8. B

    JamiiForums Naomba kupewa ufafanuzi ,Raisi mstaafu kikwete aliacha shilingi ikiwa 22100/=na sasa ni shilingi 23000/=kwa usd dollar

    samahani,jamani nimekosea kuandika shilingi badala ya kuandika 2100/=na 2300/= nimeshindwa ku -kusahihisha .ila itakuwa nimeeleweka jamani
  9. B

    JamiiForums Hapa sio Ulaya ni Dar, muonekano wa JNIA kwa nje

    mnashindwa kuwalipa wafanyakazi mnatumia fedha zao kununua ndege.
  10. B

    JamiiForums Naomba kupewa ufafanuzi ,Raisi mstaafu kikwete aliacha shilingi ikiwa 22100/=na sasa ni shilingi 23000/=kwa usd dollar

    naomba kujua kuanguka kwa shilingi na ukuaji wa uchumi wetu kuna mahusiano gani na ukuaji wa uchumi .mimi najua shilingi ikianguka na uchumi unakuwa umeanguka? je usahihi wake uko wapi kwa wale wataalamu wa uchumi tusaidieni tuelewe
  11. B

    JamiiForums Kuna watu humu wanapotosha mgogoro kati ya Magufuli na Wazungu, sasa ukweli ni huu hapa

    kuna watu wasipomtaja mbowe hawalali
  12. B

    JamiiForums naomba kujuzwa kuhusu vifaa ya ofisini/shuleni

    bado wanashauriana nmna ya kutumbuana
  13. B

    JamiiForums naomba kujuzwa kuhusu vifaa ya ofisini/shuleni

    naomba kujua sehemu/maduka /viwanda ambavyo vinahusika kuuza vifaa ya shuleni au ofisini kwa bei ya jumla na nafuu zaidi.msaada jamani.maana mimi ni supplies ndio na anza na nimepata tenda hiyo.kwa wale wazoefu jamani tujuzane.
Back
Top Bottom