Recent content by Busizole76

  1. B

    Panya Road achomwa moto Manzese

    Hawa panya wameleta taharuki katika jamii. Wanatakiwa kushughulikiwa kisawasawa. Hawafai na hawakiwi kuonewa huruma hata kidogo.Bila hivo wataendelea kuiumiza jamii mzima. Wananchi inabidi waungane kuwatokomeza. Hali sio shwari mitaani Dar. Hawawezi kuachwa wajitawale na kuumiza watu. Hawafai...
  2. B

    Serikali yafuta ada ya Mitihani kwa watahiniwa wa shule za Serikali

    Napendekeza wafute kwa shule zote, mtihani ni uleule na wanafunzi wote ni watanzania na wazazi wao pia ni watanzania. Hii itapunguza malalamiko yasiyo ya lazima kwa serikali.
  3. B

    Tafuta nyumba au kiwanja kipindi cha mvua

    Ukitaka kujua ubora wa eneo unalofikiria kuhamia kwa kujenga makazi au kupanga tafuta eneo hilo wakati wa kipindi cha mvua. Itakusaidia kujua miundombinu kama inapitika au haipitiki. Kipindi cha ukame huwezi kujua na muda huo madalali hupata nafasi ya kuwachomekea wateja maeneo mabovu.
Back
Top Bottom