Recent content by bushman

  1. bushman

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Wafanyabiashara: Biashara zafungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024

    Sasa bado chawa kuchukua chao na kupiga mayowe "mama anaupiga mwingi" shameless nation.
  2. bushman

    JamiiForums Tanzania Mara hii Dreamliner imesitisha safari za Mumbai?

    Kazi yetu ni kuzindua sauala la route halituhusu ni kuzindua kwenda mbele tu.
  3. bushman

    JamiiForums Tanzania Wazee wa CCM kupeleka malalamiko ya Kinana na Makamba ngazi ya juu kabisa ya chama sio sahihi

    swali Cyprian Musiba ni mwanachama wa ccm?Ukijibu tuanze hapa
  4. bushman

    JamiiForums Tanzania Press conference za Kina Paul Makonda na Nape na matusi dhidi ya Edward Lowassa

    Kwa hiyo sio sahihi hawa wazee kutumia mlengo wa chama kuzuia Musiba kuendelea na hizo unazoita scraps?Je Musiba mwanaccm?
  5. bushman

    JamiiForums Tanzania Press conference za Kina Paul Makonda na Nape na matusi dhidi ya Edward Lowassa

    Habari wakuuu, Nimesikiliza kwa makini sana uchambuzi wa Ndugu Hussein Bashe,Nakubaliana nae baadhi ya issues nyingi ambazo yeye anaziita key issues zinazotokana na barua ya ndugu Kinana na Makamba.Moja ya issue ambayo nauungana nae ni utamaduni wa watu kuuitisha pressconference kutukana na...
  6. bushman

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa sana, mfikirie Ndugu Mtatiro ukuu wa Wilaya Tunduru ikikupendeza!

    Hhahahahaaaahhha yametimia
  7. bushman

    JamiiForums Tanzania Musiba: Vodacom ilikuwa mali ya CCM mafisadi wakaipora, Nape kauza mitambo ya tv ya CCM, Mbowe anapoteza wanaohoji ruzuku

    Hahahahahahahaha wapumbavu wanaongezeka tanzania kwa kasi kuliko hata wakati wa UPE
  8. bushman

    JamiiForums Tanzania Kama clip ni ya kutengeneza,Nape ameshindwa kukanusha au kutoa ufafanuzi kupitia mitandao?

    hakuna haja ya kukanusha upuuuuuzi kama huu
  9. bushman

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hazuiliki

    pole na kazi mkuu weka active number hupatikani kila tukikutafuta
  10. bushman

    JamiiForums Tanzania Imevuja sauti inayodaiwa ni Maongezi ya Simu ya Nape Nnauye na Abdulrahman Kinana kuhusu njama za kuichafua CCM

    One powerful word mshamba mara ya kwanza alitumia mh.@zitto tumekabidhi nchi kwa washamba hihihihihihihihihihihi!!!!!!!!!!!!!!!!
  11. bushman

    JamiiForums Tanzania Imevuja sauti inayodaiwa ni Maongezi ya Simu ya Nape Nnauye na Abdulrahman Kinana kuhusu njama za kuichafua CCM

    Kumbe tunaumia wengi nchi hiiiiii unafiki tu nyie si ndio mliweka huyu jamaaa wacha atubatize kwa moto.
  12. bushman

    JamiiForums Tanzania Imevuja sauti inayodaiwa ni Maongezi ya Simu ya Nape Nnauye na Abdulrahman Kinana kuhusu njama za kuichafua CCM

    Kanyaganeni tu hakuna shida naona musiba anapost kule twitter hizo sauti
  13. bushman

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Majeshi yanasimama uimara wake ili kulinda maslahi mapana ya CCM

    Kupatwa kwa Tanzania
Back
Top Bottom