STRONG RELATION hususani kwa mtu ambaye matured ni muhimu sana,Kama kanumba angekuwa japo na mpenzi ambaye yuko matured enough sio tu kuwa na 18 but spiritual,moral and interlectul matured angekuwa hai leo. Sio kila mauti yanapomfika mtu basi tuseme ok. Tujifunze katika hili,yeye alisema hana...