Kwa utamaduni, mila na desturi za kiafrika, hususani Tanzania, ni familia chache zinaweza kuinyooshea kidole familia ya Ndugai kuhusiana na suala hili. Kama hujapitia hili wewe basi unakuta limemtokea jirani, baba mdogo, mjomba n.k.
Na tunasahau haraka, rejea misiba ya watu wenye umaarufu kama...
Mbona mimi naona hili ni jambo dogo labda kama hatuna vitu vya kupigania. Sina hakika kama jina linalokatazwa lina copyright. Pia kuna watu wengi wanajiita au kuitwa majina ya viongozi wengine wakubwa wa ndani na nje ya nchi bila tatizo lolote. Hizo a.k.a mbona zipo nyingi.
Tukiamua kuanza...
Kwanini inajengwa fikra kuwa wanafunzi kujiandikisha ni kosa kama wametimiza miaka 18? Na kwanini tunahisi hawa wanafunzi ni wa chama fulani wakati hawajatuonesha kadi za vyama vyao?
Pia mbona kama kuna kuchanganya kujiandikisha na kupiga kura? Ieleweke wazi kua hili ni zoezi la uandikisha...
Nimekua nikiona mara kadhaa watu wakilalamika taarifa za mawasiliano yao kwa simu kuvuja, ikiwemo ya sauti, sms na mara nyingine hadi whatsapp.
Nimekua nikijiuliza sana kuwa ni rahisi kiasi gani jambo hili linafanyika kiasi cha kuathiri watu wengi hivi.
Je ni kampuni za simu pekee ndio...
Maswali haya ni mazuri sana. Yanapaswa kujibiwa kabla hatujaingia kwenye uhalali wa uagizwaji wa sukari.
Tatizo hatutaki kujisunbua kuhoji zaidi ya kupokea taarifa.
Je ni kweli viwanda vya sukari hapa au agents wao walikua na sukari wakazuiwa kuuza?
Nafikiri unaweza kujenga hoja bila kushutumu watu wengine pasipo ushahidi wa wazi. Umemtaja Kinana kuhusika bila kuweka ushahidi. Nadhani si sawa.
Ila kama una ushahidi tuwekee nasi tuweze kunufaika ili tuwajue waovu wa nchi yetu.
Jamii forum kuruhusu mijadala kama hii ni hatari. Jamii zetu zimechangamana sana. Unakuta baba muislam mama mkiristu. Na hatujaeahi kuona shida.
Sasa kama mijadala ya msingi imetushinda bora tukae kimya. Hizi dini tumeketewa tusisahau historia. Na bado kuna mataifa makubwa na yameendelea...
Mbona watu mna wivu usio na ticha? Kabla yake ni nani alikuepo na akafanya nini? Haya kashatolewa nishati, je mmepata umeme? Tuepuke personality unapokua na matatizo yako usihamishie chuki zako kwa mtu. Serikali ni mifumo na si mtu mmoja. Sina interest na huyu mtu ila nimekua nikiona mara nyingi...
We ni mpumbavu sana. Kwanini unakashfu dini za wenzako kwa hoja dhaifu. Hivi kwenu dunia au tanzania tunayoishi ni yakubaguana na kukashfiana kiasi hiki? Unadhani waislam wanajisikiaje wakisoma utumbo kama huu? Kwanini JF mtu kama huyu asidhibitiwe? Yawezekana we mwenyewe ni zao muislam siri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.