Recent content by busanda

  1. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kitabu kinachoitwa PMBOK® Guide – Seventh Edition

    Naomba namba yako
  2. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kitabu kinachoitwa PMBOK® Guide – Seventh Edition

    Naomba namba yako Please
  3. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kitabu kinachoitwa PMBOK® Guide – Seventh Edition

    Please mwenye Vitabu vifuatavyo karibu inbox tufanye biashara: 1. PMBOK® Guide – Seventh Edition - 2. PMP Exam Prep Simplified: Covers the Current PMP Exam and Includes a 35 Hours of Project Management E-Learning Course
  4. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta field ya Marketing Public Relationship

    Upo Mkoa gani?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Viwango vya riba (Interest rate) thread

    Kwa mfano ulioutoa wa (10÷100)×100000 kwamba utatakiwa kulipa 100,000+10,000= 110000 kwa Mwaka. Which means kwa Miaka 10 utatakiwa kulipa 2M? Pia unaweza kusaidia elimu juu ya aina za Makoto, kuna ile reduce and Fixed
  6. B

    JamiiForums Tanzania Connection ya Maduka (Wholeselers) /Viwanda vinavyouza Dawa za Binadamu kwa bei nafuu zaidi

    Habari wajumbe. Naomba Connections za Maduka au Viwanda tunapoweza kupata Dawa za binadamu wa bei nafuu zaidi.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ya rangi za nyumba, kwa mtaji wa mil. 30

    Umetisha sana. Thanks
  8. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ya rangi za nyumba, kwa mtaji wa mil. 30

    Habari wadau, Kwa mtaji wa Mil.30 mtu anaweza kufanya biashara ya Kuuza rangi za Nyumba akiwa Mkoani(Mwanza)? Je, Hii ni moja kati ya Biashara nzuri kuifanya? (It pays, ina Mzunguko mzuri?) Je, kwa huo Mtaji unaweza kuuza jumla jumla? Je, ipi njia sahihi ya kufanya biashara ya Rangi? Kwenye...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa biashara

    Chukua Ushauri wote, lakini siyo wa kubet
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh Milioni 3 nataka kuwa mtu wa kati (WINGA)

    Biashara gani una uzoefu nayo uanzie kwangu kupiga hela?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh Milioni 3 nataka kuwa mtu wa kati (WINGA)

    Nini Maana ya Kukimbiza Mwenge?
Back
Top Bottom