Recent content by Burure

  1. Burure

    Wazee wetu wa kale

    Hivi ni kweli wazee wetu wa kale walishindwa kuweka misingi imara kuanzia ngazi ya familia Hadi kitaifa.. Kwanini kwenye Jamii zetu nyingi za kiafrika kila mtoto anayezaliwa ndiye anatakiwa kupambania ili ukoo ujikomboe na Umaskini? Waliotutangulia waliwahi kuja hapa kutuzaa ili watutegemee...
  2. Burure

    Kulikuwa na jaribio la Mapinduzi Chadema, Sasa wavamia Uchaguzi!

    Endapo TAL atapita na kuwa chairman na uhakika utakuwa mwisho wa CDM kuwa chama kikuu cha upinzani
  3. Burure

    Mtazamo wangu kuhusu majini (mashetani/ mapepo). Uliza swali lolote nitakujibu

    Eti ni kweli kuwa majini wana jinsia zote mbili? Eti ni kweli kabla ya kuumbwa Binadamu yalianza majini? Eti ni kweli Shetani/Lucifer ni jini na sio Malaika? Eti ni kweli Shetani alikataa kumsujudia Mtu na akaonekana kaasi na ikiwa Mungu pekee ndiye anayetakiwa kusujudiwa? Eti ni kweli baadhi ya...
  4. Burure

    PreGE2025 Lissu calculated his moves

    Tumefikiria sambamba.
  5. Burure

    Freeman Mbowe atamshinda Tundu Antipass Lissu kwa sababu zifuatazo..!

    kupitia RUZUKU ambazo FAM anachukua na kusema anajilipa kwani aliikipesha Taasisi.
  6. Burure

    Freeman Mbowe atamshinda Tundu Antipass Lissu kwa sababu zifuatazo..!

    Ninawagawa wapiga kura katika makundi makuu matatu 1. Viongozi waandamizi 2. Baraza la wanawake 3. Baraza la vijana FAM anatarajiwa kushinda kwa kutumia kundi la kwanza na la pili maana ndio wanufaika wakubwa wa Mwenyekiti FAM na endapo mabadiliko ya uongozi wa juu utabadilika (Mwenyekiti)...
  7. Burure

    CROWN MEDIA IMEBADILIKA SANA

    Hii media ilivyoanzishwa tuliona kama ni mkombozi kwenye Tasnia hii kwa kutoa habari za ukweli na uhakika lakini ghafla imekuwa ndivyo sivyo... Toka imeingia ubia na AZAM MEDIA imebadilika sana maana tangu walivyoreport tukio la MAANDAMANO ya CDM imepoa sana... Wamepunguza kureport Taarifa za...
  8. Burure

    Waandishi wa habari mnapata wapi ugumu wa kumuhoji Abdul juu ya sakata la fedha za mama Abdul?

    Wakienda kumhoji nawapatia million 1 as a bonus
  9. Burure

    Rais Samia alikuwa sahihi kuhusu mahitaji ya Kabisa Mpya

    Ukiangalia mambo ya kisiasa yanayoendelea hapa nchini nafikiri utakubaliana na Rais Samia kuwa waTanganyika hawahitaji KATIBA MPYA Wanachotaka ni kuwepo kwa Uhakika wa chakula uwepo wa ajira pamoja na gharama za maisha kuwa chini... Wengi wao wanaotaka katiba mpya ni wale waliopo kwenye siasa...
  10. Burure

    Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi wa taarifa ya Mchezaji Bernard Morrison kuhusu Kituo cha Polisi Mbweni

    Yaani 1.5 million ukachukue gari Hii inawezekanaje?
  11. Burure

    Kinachowafelisha CHADEMA ni matamko ya "mihemuko" ya viongozi wao

    Kila nikiangalia naona ACT wakuja kuwa chama kikuu cha upinzani lakini shida na wao ni Tawi la mbogamboga kwahiyo tutegemee kuwa na chama pinzani cha unafiki.
  12. Burure

    Hii ni special kwa makada wa CHADEMA

    Tumeona jana mwenyekiti wenu akisema masuala ya ndani ya chama chenu ya yeye kuendelea kuwa Mwenyekiti ni yenu binafsi. Hivyo basi msiwe mnatushirikisha sisi raia wa kawaida kuhusu mambo yenu na ikitokea mkaonewa kaeni chini na waliowaonea na kutafuta solution na sio kutoka nje na kuanza...
  13. Burure

    Nguvu ya mitandao ya kijamii kwa viongozi wetu

    Siku ya jana katika uapisho wa Mawaziri na mabalozi wapya tumeona Rais wetu akiongelea kuhusu kumteua daktari Janabi hii Ina maana kuwa wanafuatilia kwa ukaribu mambo yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii Sambamba na kikao cha kamati kuu ya CHADEMA tumeona Makamu wa Mwenyekiti wao Lissu...
Back
Top Bottom