Recent content by burros

  1. B

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya madawa ya kulevya....

    Alafu kitu kingine cha kujiuliza kwa umakini , almost kesi zote zilizopo ni za watu kukamatwa na madawa wakiwa wanatoka tz kwnd nch nyingine , swali la kujiuliza , haya madawa yanalimwa hapa tz au yanaletwa kwa nia ya kupitishwa tu ? Na kama yanaletwa mbona huwa hayakamatwi kabla ya kuwafikia...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai asoma msg kwa kujificha bungeni

    Then akinyanyuka hapo anakuja rules za ajabu kumbe tatizo stress za msg
  3. B

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya madawa ya kulevya....

    Kuna maswali huwa najiuliza sana kuhusu hiki wanachoita "vita dhidi ya madawa ya kulevya " bila kupata majibu . Ukiangalia kwa umakini utagundua hii vita ni usanii mtupu na haitafanikiwa daima. Inavyoonekana kwa hapa Tanzania kutumia dawa za kulevya siyo kosa bt kuuza ndo kosa kwa maana...
Back
Top Bottom