Recent content by Burhani Omari

  1. Burhani Omari

    JamiiForums Tanzania Elon Musk ainununua Twitter, atimua viongozi wa juu

    Bado hajarudishwa, ile acc ni kama Parody though limekuwa verified. Fatilia vizuri wanasiasa wa Marekani wanabet/guess juu ya Trump anaweza kurudishwa Twitter au Laah! Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
  2. Burhani Omari

    JamiiForums Tanzania Nipo tayari kutoa ushauri wowote wa Kitaaluma juu ya fani ya Masoko na Uhusiano (Marketing and PR)

    Poa poa karibu sana Kaka. Kuelemishana ndo kila kitu hapa JF
  3. Burhani Omari

    JamiiForums Tanzania Nipo tayari kutoa ushauri wowote wa Kitaaluma juu ya fani ya Masoko na Uhusiano (Marketing and PR)

    Marketing anaweza kusoma yoyote haijalishi umesoma combinations za science au arts lakini Accountancy, lazima uwe na msingi wa combinations za biashara aidha O level au Advance, kwa A level mara nyingi wamesoma ECA (Economics, Commerce and Account).
  4. Burhani Omari

    JamiiForums Tanzania Nipo tayari kutoa ushauri wowote wa Kitaaluma juu ya fani ya Masoko na Uhusiano (Marketing and PR)

    Toa hio notion kabisa. Kwanza, kazi ya sales anaweza fanya mtu yoyote haijalishi amesoma Marketing, Finance, Accountancy, Insurance and Risk Management nakadhalika. Pili, Kazi za Sales si za kudharau hata kidogo ila swala linakuja pale je, unafanya katika taasisi ipi? Je, una uzoefu gani na...
  5. Burhani Omari

    JamiiForums Tanzania Nipo tayari kutoa ushauri wowote wa Kitaaluma juu ya fani ya Masoko na Uhusiano (Marketing and PR)

    Hapana hizo fani mbili tofauti mbili. Japokuwa huyu Marketing anasoma uhasibu kama somo lakini haifanyi kufanya kazi kama mhasibu. Uhasibu ni fani sensitive kama zilivyofani nyingi zinataka mtu aliyekamilika na kuwa na msingi wa masomo ya biashara hapa nazungumzia ECA ukiwa advance/A- level.
  6. Burhani Omari

    JamiiForums Tanzania Nipo tayari kutoa ushauri wowote wa Kitaaluma juu ya fani ya Masoko na Uhusiano (Marketing and PR)

    Marketing Management ipo ndani ya Marketing. Hivo Marketing ni General and Marketing Management ni module inasomwa kama somo ukiwa Mwaka wa pili inategemeana na muongozo wa taaluma wa chuo.
  7. Burhani Omari

    JamiiForums Tanzania Nipo tayari kutoa ushauri wowote wa Kitaaluma juu ya fani ya Masoko na Uhusiano (Marketing and PR)

    Normal Calls: 0687577574, Whatsapp: 0718182848
  8. Burhani Omari

    JamiiForums Tanzania Nipo tayari kutoa ushauri wowote wa Kitaaluma juu ya fani ya Masoko na Uhusiano (Marketing and PR)

    Habari wanaJF! Niwaombe radhi kwa kimya kirefu hapa JF tangu 2016, kwani nimiongoni mwa Wadau wakubwa wa jukwaaa hili. Awali nilikuwa natumia acc kwa jina Burhani Kassimu, ila kwasasa nina hii acc mpya. Mnamo mwaka 2016, niliandika uzi hapa wa kuomba ushauri juu ya fani ya masoko na uhusiano...
Back
Top Bottom