Recent content by Bungurere

  1. Bungurere

    JamiiForums Tanzania Biashara kariakoo kupangwa upya

    Kwani Hilo linahusiana vipi na uchafu
  2. Bungurere

    JamiiForums Tanzania Lissu, alikuwa hajui kuwa anacheza na moto akili itakaa sawa

    Hiki nini Sasa, umeandika hapa
  3. Bungurere

    JamiiForums Tanzania DC Tarime atoa katazo wananchi kuendeleza maeneo yanayoguswa na mradi ujenzi Bwawa la TSF- North Mara

    Mfupa uliomshinda waziri je DC atauweza ukizingatia mbunge mwenyewe alitoa machozi.
  4. Bungurere

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Tanzania ovyo. Wanashindwa kumtafuta Nchimbi na kufanya nae mahojiano au Kwenda kwake kujua kama Yupo?

    Acha Uongo huyu jamaa akiitwa kwenye interview haendagi mfano 30.08,2025 alitakiwa kwenye interview na chief odemba hakutokea (unafiki ulizidi)
  5. Bungurere

    JamiiForums Tanzania Chalamila Ondoa ICD Mjini kama wewe Mwanaume. Acha kuonea Madereva

    Wanasema hizo ni dalili za ugaidi
  6. Bungurere

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Uganda Kujenga Kiwanda Kikubwa Cha Kusafisha Mafuta Cha Trilioni 56 Tanga.

    Tunamkaribisha shemeji yetu mtoto wa ruto Tanzania
  7. Bungurere

    JamiiForums Tanzania HOJA Deni la Daraja la Kigamboni (Mwalimu Nyerere) litaisha lini?

    Hata hivyo hiyo pesa ndogo Kwa sababu nssf ilikuwa inaingiza billion 120 Kwa mwezi ilifikia muda ilikuwa inaidai serikali trillion 6
  8. Bungurere

    JamiiForums Tanzania Shindano bubu la Tsh.10,000,000/=

    Labda ubeti Kwa sh.200 upate efu87, Kwa siku 7, ubahatishe siku5 ukose siku2, utakuwa umepata 435,000
  9. Bungurere

    JamiiForums Tanzania THRDC: Kesi ya mhadhiri UDOM - maelezo yaliyotolewa na Jeshi la Polisi yanakinzana na yale yaliyowasilishwa mahakamani

    Maagizo kutoka juu ni Kwamba zile kesi za ugaidi zinawageuka wenyewe ni Bora waanze kubabinkiwa kesi za uhujumu uchumi hazina madhara kwenye Afcon
  10. Bungurere

    JamiiForums Tanzania Binti mwenye miaka 16 amuua mama yake mzazi kisa kuzuiliwa kwenda kwenye birthday party

    Hivi nyie watu wa msoga mkoje mmeharibu Binti wa watu mpaka akawa na tabia mbaya
  11. Bungurere

    JamiiForums Tanzania Katambi: Tanzania hakuna Ugaidi, kunaweza kuwa na viashiria

    Hiyo dhambi itawatafuna tu wewe ngoja
  12. Bungurere

    JamiiForums Tanzania Nape: Ukiachwa na basi usilalamike inawezekana linaenda kupata ajali

    Nepi ailiaminiwa jk tu Marais wengine waliofuata hawakumwamini. Kwa hiyo akae Kwa kutulia kama bashite alivyotulia aache uchochezi akae akijua bashite ndie boss wake
  13. Bungurere

    JamiiForums Tanzania Binti ukifika miaka 25 tafuta mwanaume wa kuzaa naye, ukifika 30 mtoto anaweza pata Autism!

    Hivi wema sepetu ana miaka mingapi
  14. Bungurere

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasira: Vurugu zilifanyika usiku Oktoba 29 wakati sehemu kubwa ya nchi walishapiga kura

    Yeye alijuaje kama walikua wamemaliza kupiga kura wakati yeye hakuwa mkuruugenzi wa Tume ya uchaguzi.
Back
Top Bottom