CCM ni Chama kilichojijenga na Ina misingi Imara kuanzia kwenye Kata na Mashina, Ushindi unatafutwa kila sehemu sio Mijini kama CDM.
Et wao wanaishia kwenye Makao makuu ya Mikoa tu alafu wategemee was hindu uchaguzi na kuacha wapiga kura wengi Vijijini.
Kila siku wao ni Kushinda Twitter...
Nchi yetu imejengwa kwenye Misingi ya Umoja na Undugu, Kutugawanya kwenye kwenye Makundi ya Kimajimbo ni kuvuruga umoja wetu wa Watanzania kama nchi moja.
Wanaokuja na hoja hizi ni wa kuwapinga kwa Nguvu zote.
Kwa kweli hatutaki cha ziada zaidi ya JPM Mwenyewe.
Rais wa watu wote, Aendelee kukuza uchumi wa nchi na wa mtu mmoja mmoja ila sio swala la kuwapa Wawakilishi wa Mabeberu.
Ndugu hawa wapinzani wamechanganyikiwa?
Hawakai Bungeni taarifa zinapitishwa wao wanazurura chako ni chako.
Documents zinaonesha Manunuzi yote ya ndege za ATCL budget zake zimetengwa na Kwenye Manunuzi Bunge limeshirikishwa.
Wao ni Wabunge kweli kwa Majukumu au ni Majina tu.
Iv nyie kwenye Mahesabu yenu Maelfu ya watu wanaanzia ngap?
Mnasema Maelfu wakati uhalisia wa watu hata Elfu moja hawafiki, Iv mnamdanganya nani?
Au mnataka kusema mliibiwa kura?
Kwann mtumie Picha za Mwaka 2015 wakati wa Lowassa?
Naona kifo Chenu kimefika mshaanza kutapatapa.
Iv nyie kwenye Mahesabu yenu Maelfu ya watu wanaanzia ngap?
Mnasema Maelfu wakati uhalisia wa watu hata Elfu moja hawafiki, Iv mnamdanganya nani?
Au mnataka kusema mliibiwa kura?
Kwann mtumie Picha za Mwaka 2015 wakati wa Lowassa?
Naona kifo Chenu kimefika mshaanza kutapatapa.
Ukweli ni kwamba wapinzani wamekosa sera na maji yamewafikia shingoni.
Njia pekee waliyobakiwa nayo ni Matusi na Kutumia hoja nyepesi badala ya kunadi sera zao na Ilani ya vyama vyao
Alichosema Ndg Humphrey Polepole ni kweli.
Tundu Lissu amekua ni Mtu wa kudanganya Umma wa Watanzania wanaoenda kumsikiliza kwenye kampuni zake.
Kadanganya kuhusu Uwanja wa Wandege wa Mpanda, Kadanga kuhusu treni, Kadanganya kuhusu vitambulisho vya wamachinga.
Amekosa mwelekeo, Anatafuta kura...
Kiuhalisia Wizara ya Madini imekuwa makini sana kwenye swala zima la Mikataba na Kampuni za Uchimbaji wa Madini Kama vile Barick.
Mapato yatokanayo na Wizara hii nyeti ya Madini Imeongezeka na Kufikia billioni zaidi ya 568 na kuchangia zaidi ya 51% ya vitu vinavosafirishwa nje ya nchi kutoka...
Wamechelewa kufanya Muungano huo kama Sheria inavowataka...
Kwasasa wakae kwa kutulia Dawa iingine, Walitahadharishwa kujiunga mapema kabla ya Uchaguzi kwani Nguvu ya JPM sio ya kitoto.
Wapinzani mtaburuzwa sana mwaka huu, Litakufa Jituu🔥🔥🔥🔥
Mbowe anapambania Kiti chake kule hai japo mambo ni magumu na amezidiwa sana na Wanachi hawahudhurii kwenye Mikutano yake.
Amekua Mwakilishi wa Jimbo la Hai lakini hakuna maendeleo yoyote aliyofanya pale na Amekua akionekana kipindi cha Uchaguzi kuomba kura wakati huu hatekelezi majukumu yake...
Kuna Mgawanyiko Mkubwa ndani ya CDM kutokana na Maswala ya Fedha. Ni kweli hawako stable kwenye maswala ya kiuchumi lakini zile 50M bado inazidi kuwachanganya.
Mbowe kapiga pesa ndio Maana kampeni zao zinasuasua ,Kubwa zaidi kuliko hilo ni maelewano Mabaya kati ya Lissu na Mbowe.
Wakati wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.