Kama Rais Magufuli ameweza kukuza pato la taifa kutoka sh trilioni 53 alizoacha Kikwete hadi sh trilioni 120, Mungu atupe nini tena?!

Hizo za National Bureau of Statistics (NBS), Achana na takwimu za kupika za Humphrey Polepole!

Aliyeleta mada mwenyewe keshaona ukweli kuwa aliingizwa chaka na akina Polepole ndiyo maana amenyuti, keshaona facts!
Amesoma Hansard wewe au unapayuka tu! We go with figures my friend, hata mshahara kama unafanya kazi una kiwango hata kama umejiajiri una shares ambazo zina kiwango. Which planet are you living on?
 
Acha ushabiki buku saba zinakusaidia nini wakati Watanzania wenzako wanateswa ndani ya Nchi yao
Njoo nikuajiri mimi kama unategemea mimi naishi kwa buku 7. Maana hilo chozi sio bure.
 
Hizo nilizoweka ni za National Bureau of Statistics (NBS)(Mamlaka za Takwimu nchini) .

Achana na takwimu za kupika za Humphrey Polepole!

Aliyeleta mada mwenyewe keshaona ukweli kuwa aliingizwa chaka na akina Polepole ndiyo maana amenyuti, keshaona facts!
Kumbe unafahamu sasa unalialia nini. Nchi ipo pazuri ule utitiri wa kubeba mpunga kwenye sandarusi umekwisha chapeni kazi hiyo ndio mntra. Hapa kazi tu!
 
Njoo nikuajiri mimi kama unategemea mimi naishi kwa buku 7. Maana hilo chozi sio bure.
Ninyi Makada wa CCM ndio iko kwenye Uchumi wa kati;sisi Wananchi kweli tumeshazizowea sasa ngojeni 28
 
Kiukweli hizi data zimenitia moyo zaidi na kunifanya nizidi kutembea kifua mbele.

Ukuaji wa pato la taifa kutoka sh trilioni 53 mwaka 2015 hadi sh trilioni zaidi ya 120 mwaka huu wa 2020 ni jambo la kujivunia ambalo ni lazima tulienzi kwa kumpa Dr Magufuli mitano tena.

Tundu Lisu atapewa kazi pale ofisi ya Mwanasheria mkuu.

Maendeleo hayana vyama!

Kwa kweli hatutaki cha ziada zaidi ya JPM Mwenyewe.
Rais wa watu wote, Aendelee kukuza uchumi wa nchi na wa mtu mmoja mmoja ila sio swala la kuwapa Wawakilishi wa Mabeberu.
 
  • Thanks
Reactions: Ole
Back
Top Bottom