Recent content by Bungabunga

  1. B

    JamiiForums Tanzania Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    unabii umetimia ya kuwa 'the world will run under one currency. .na itafikia kipndi the world will run under one religion. tuwe makin na hiz strategy
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwa anayeujua wimbo huo msaada tafadhali

    yah jina lake..kama unalifahamu nijulishe...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwa anayeujua wimbo huo msaada tafadhali

    kama kuna ambaye anakikumbuka kile kipndi kiitwacho club 10. kilichokua kinaendesha na perfect crispin kupitia clouds fm saa 4 mpka 6 mchna kila cku j mosi.sasa naomba jina la ile nyimbo iliyokua inapiga background ya tangazo la kipind..inaitwaje..kwa yeyote ajuye anijuze.
Back
Top Bottom