Mwenye majibu mazuri ni Ronaldo mwenyewe na huyo Mmorocco sasa mambo ya social media ukija kuyauliza humu wakati hakuna hata ndugu yake ndo maana unapata majibu mepesi afterall hii ishu daily mail walishaiongelea but ilikuwa kwamba ronaldo anaponda sana raha hawakusema kuhusu ushoga
We still have to win it tusitegemee Bernabeu maana huyu tumbo anataka kufanya paonekane pa kawaida saaana...naipenda sana timu yangu ntakaoangalia mtatupa matokeo wengine vimoyo vyetu vidogo af vina mambo mengi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.