hii picha ni ya asubuhi wakati watu wanaanza kuja....toa picha ya wakati yupo anahutubia...unajua mtiti wa watu ulikuja na mimi nilikuwepo...acha uwongo
Nimemsikia Mzee Makamba akitaja ranchi zilizochukuliwa na Lowassa. Simtetei Lowassa, lakini nadhani kwa kuwa hapa sasa yanazungumzwa masuala ya mali za umma, ebu tuelezane kidogo kuhusu Mkapa na familia yake walivyojitwalia mali nyingi za umma.
Nianze na yale majengo/maghorofa ya TTCL pale...
Mnyika ni jembe safi sana...juhudi zake tunazijua sisi wakati wa kibamba...CCM ndio walifanyia ufisadi mradi wa kibamba.Mnyika hana kosa tunaona kila jitihada anazofanya. CCM mlie tu
Mbona waliokatwa ni wengi?..mBona hawasemi?..naamini kwa vyovyote vile lazima angepatikana mmoja tu kupeperusha bendera ya CCM...ni vyema kukubali matokeo na kusonga mbele.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.