Recent content by BULOLE BUKOMBE

  1. B

    Waziri Membe ashiriki msiba wa mama mzazi wa Dk. Hoseah

    Acha kujipendekeza mbona kwenye msiba wa mjomba wako hakuja? Dr Hosea ni Public figure wamekwenda wakubwa wengi ambao hujataka kuwaandika hapa na siyo huyo mtu wako pekee unayemnadi
  2. B

    Mwenyekiti wa vijana JKT: Nililazimishwa nifanye mapenzi

    Atasema sana na bado hiyo ni trela tu aandamane tena asikie muziki unaolinda watz naona haijui TZ tena anabahati kufanya mapenzi wakati umetekwa ulikuwa mchezo mzuri sana huo
  3. B

    Viongozi wa kikundi haramu cha JKT sasa wote mbaroni, Sheria ichukue mkondo wake

    Wakati unalima ulikuwa unafundishwa ukikosa kazi ulime kwako kama ni kupoteza muda ni nani aliyewaita JKT mbona walikwenda wenyewe kwa DC na vyeti vyao kubembeleza? Usiwatie ujinga kama haki yao mbona hawajaingia IKULU? Waambie waendelee kuandamana ndiyo wataajua kuwa watu milioni 40 hawawezi...
  4. B

    Viongozi wa kikundi haramu cha JKT sasa wote mbaroni, Sheria ichukue mkondo wake

    wapigwe tu tumeshachoka na ujinga hivi ni lini na wapi mwajiri analazimishwa atoe ajira?
  5. B

    Kiongozi wa vijana wa JKT, George Mgoba apatikana Msitu wa Tumbi

    waambie hawa watoto akili za mbaya ajira ya kulazimishana HAKUNA
  6. B

    Kiongozi wa vijana wa JKT, George Mgoba apatikana Msitu wa Tumbi

    Kwa taarifa yako kila kazi ina miiko yake na moja kati ya miiko ya kazi ya uaskari ni kuandamana ambayo hutakuja kuona askari anaandamana hadi utakapo rudi mavumbini na kwakuwa siyo kazi yako na hujapita huko sitakuambia mengi na hao jamaa zako watasambaratishwa kabla ya mwezi huu kuisha...
  7. B

    Kiongozi wa vijana wa JKT, George Mgoba apatikana Msitu wa Tumbi

    Nimefanya makusudi ili upate muda wa kufikiri mimi ni nani, zaidi ya yote nitajie nchi ya ki-demokrasia ambako askari huandamana kudai unachokiita haki utakuwa umenisaidia sana na nitakuambia mimi ni mkulima au mfanyakazi
  8. B

    Amboni Tanga: Askari Polisi, JWTZ wapambana na majambazi wenye silaha nzito za moto

    Hebu tusaidie ulitaka waende Mkoa gani ambako ni halali kwao?
  9. B

    George Madafa kwanini Mmemteka kiongozi wa vijana JKT

    Mtoto wa mkulima alisamaje pale kwenye lile jumba kARIBU NA CBE hebu nikumbusheni vile kwamba....................................................................tu???? au siyo hivyo?
  10. B

    Kiongozi wa vijana wa JKT, George Mgoba apatikana Msitu wa Tumbi

    unapokuwa jkt unafundishwa kazi zote za ulinzi zikiwemo zinazofanywa na polisi kama huelewi uliza wariokaribu yako wenye uelewa kuliko wewe watakusaidia askari aliyetoka jkt ana fit popote atakapangiwa kufanya kazi
  11. B

    Kiongozi wa vijana wa JKT, George Mgoba apatikana Msitu wa Tumbi

    Ni kweli lakini kwa hili huo msemo hauna nafasi, albino waandamane, wanasisa wandamane na nyie askari mkiandamana hawa wengine watalindwa na nani?
  12. B

    Kiongozi wa vijana wa JKT, George Mgoba apatikana Msitu wa Tumbi

    Huyo dogo naona hakumbuki kiapo chake ni lini na wapi askari anaandamana kudai haki kama wanasiasa somo la nidhamu ana ziro askari huwa hatuandamani kwenda kwa amiri jeshi mkuu na hiyo ni trela mchezo wenyewe bado kama haamini aulize wote wanaoshindana na serikali mwisho wao huwaje???? Na...
  13. B

    Mengi atoa dakika 15 kwenye taarifa ya habari ITV kuelezea Kujiuzulu kwa Muhongo

    Toa ushahidi na siyo kueneza chuki zako kwa wengine aliibaje mwaka gani na kwa nini hajakamatwa? wewe ulijuaje?
  14. B

    Mengi atoa dakika 15 kwenye taarifa ya habari ITV kuelezea Kujiuzulu kwa Muhongo

    Kwa sababu Muhongo alikosa adabu kwa watanzania kuwaita wote ni wachovu hawawezi kuwekeza kwenye gesi hata hivyo alichelewa kuondolewa japo anadai kaondoka
  15. B

    CHADEMA wamuandalia Limbu ziara za Kigoma, Tabora, Rukwa na Katavi

    Ukimuuliza mbwa kuwa kuna chama cha siasa chenye jina uliloliandika atakujibu hakuna lakini mbwa huyohuyo ukimuuliza anaitambua chadema atakujibu ndiyo sasa pima maneno yako na hoja uliyoiandika kisha jijibu mwenyewe kama huo ugoro unaweza kushindana na CHADEMA NI BORA KUKAA KIMYA KULIKO...
Back
Top Bottom