Sisi binadamu tunamapungufu mengi sana, na huwenda hizi dini zetu kunaupande ni kama huwa tunadanganyana saana
Hawa hawa Mashekhe kipindi Rais Samia anaingia madarakani, walitusomea aya kuwa, Mwanamke kuwa kiongozi mwenye maamzi, yaani Mtawala, Kitabu na Dini ya Mnyaazi Mungu haikubali
Embu...
Na wewe ni nani hapo USA mkuu
Trumpol anafanya kwa ajiri ya masilahi ya Wamarekani na si vinginevyo, ikitokea amekufa, atakufa kwa ajiri ya watu hao hao
Nyinyi endeleeni kuwapamba na kuwa machawa wa viongozi majizi na wala rushwa kwenye nchi zenu
Makundi ya Kigaidi huwezi kuyamaliza kama hujadhoofisha nguvu ya mfadhili wao
Wengi tumeona vita vya Israel na makundi yaliyokuwa yakiisumbua nchi hiyo
IDF hakuwa akipiga wanamgambo tu wa makundi ya kigaidi, bali aliwapiga na wafadhili wao wakuu na kuwadhoofisha kabisa, pale alipopiga mitambo...
Lakini we jamaa ni mpumbavu sana na ole tukutane njiani nakutwanga mangumi ujinga ukuondoke
Mpina anapozungumzia uongozi mbovu, mikopo isiyo na tija, katiba n.k, anakuwa anatetea au kuzungumzia kabila lake au anatetea Nchi yake?
Mpina ni mzalendo na mlinda Rasilimali zetu
Huyu mzee anazeeka vibaya!
Mkuu wake akiiona hii atajidharau sana,
Hayo maendeleo yaliyoletwa na Dr. Samia labda yawe hayana mwingiliano na njaa
Yaani kumbe nimekuwa sielewi maana ya maendeleo, mimi najua kuwa, mtu aliyeendelea, hawazii pesa ya kula au jambo la msosi kwake halimpi shida
Sasa...
Wewe ni kama nani hapo hazina?
Wewe ni CAG mpaka useme hakuna pesa zinazoibiwa?
Kuhusu mkataba wa DP world umeshapelekwa bingeni au zuga zenu maccm kuwafanya eananchi mazuzu?
Ni lini ccm kumekuwepo watu wenye brain usiochakachuliwa?
Yule jamaa ndo chawa no moja wa mama! Ukimsikiliza ni kama anamambo mazuri sana, laikini ni kipi amefanya, ni 0
Sifahamu hili USA kujitoa WHO atasemaje huyu kafulila..!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.