Wakuu Habari zenu.
Nimeandika uzi huu baada ya kupata usumbufu wa zaidi ya miezi miwili nikifuatilia transcript, ili kushauri nini kifanyike kuondoa kero hii inayowakuta wengi.
Kwanza itambulike wanafunzi wote wanaohitimu na kufaulu masomo Yao katika vyuo vyote vinavyosimamiwa na nacte...
Ni kwel mkuu uvumilivu muhimu...ila sikudeka nilikuja kwa wadau kupata muongozo mkuu vitu vingine sikuvijua sijatumia Jf kama miaka miwili hiv nimerud kuchota maarifa
Bahati mbaya hata watu nilokutana nao siku ya kuripoti nao walikuwa hawajui kama mimi tu jobless wengi hizi taratibu za Taasisi hatuzijui...tumezoea taratibu za upande wa Tamisemi ambako watu wengi ndo wanaajiriwa kidogo wenyew wako fast
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.