Recent content by bukini

  1. B

    Afisa utumishi wilaya ya Muheza

    Huyu mama namfahamu si alikua mtendaji kata Dar na kweli anajisikia ila matatizo haya yameanza bahada ya burreta kuhama dawa moja handamana ikiwezekana mfungie mlango
  2. B

    Kwanini Inspekta Mkuu wa Polisi Said Mwema amekataa ofa ya Boss wake?

    Ofa ya nini ? kuna vijana wengi hawana ajira hizi ofa zitoleewazo na watawalando zinaturudisha nyuma kama mtumishi amestahafu ake pembeni hii tabia inanikera sana ndo maana ufisdi kila siku mazoea yamekua mengi
  3. B

    Heshima zenu wana jamii forums

    Nimefika naomba mapokezi yenu tuweze kuburudika na kufurahi kupitia Jamii f .
Back
Top Bottom