Recent content by bukenye

  1. B

    Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

    Hotuba ndefu inaharibu! Ina maana walokupokea na kujaza mkutano wamelaaniwa? Waombe, radhi upesi Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
  2. B

    Luhaga Mpina: Ziwa Victoria linaenda kubakia kuwa swimming pool

    Mawazo mazuri, lakini solution ni kuanzishwa kwa ufugaji wa samaki wa vizimba kwa wingi, hapo hakutarajii uvuvi haramu. Kwani kuongeza kikosi kazi vya kuzuia uvuvi haramu ni kuongeza haramu. Hizo fedha zielekezwe kwenye ufugaji samaki kwa vizimba. Wakianzisha ufugaji huo, ndio ziwa litapata...
  3. B

    Bashiru Ally: Heshima ya nchi yetu imeshuka, tunadhalilika kwa njaa

    Mimi nafikri bashiru anataka serikali, ifanye haraka kutafuta tatizo 1. Kutokutegemea mvua za misimu, kutafuta haraka hata maji ya chini ya ardhi, ambayo ni mengi. Ambapo ukafanyika kilimo cha umwagiliaji wa mazao ya muda mfupi. 2. Kuruhusu watu binafsi, kuchimba visima kwa ajili ya umwagiliaji...
  4. B

    Sheria ya Uchaguzi ni mbovu! Kuendelea kuitumia sio Ujinga? Kuwabebesha masikini gharama za Uchaguzi sio Dhambi?

    Mimi naona kuwepo kwa ukomo wa ubunge na udiwani , kwani mtu anadumu miaka 40, hii inanyima haki kileleni kipengele cha kila raia mwenye sifa ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa. Hiyo ya mtu kukaa muda mrefu kuweza kupelekea rushwa kukua.
  5. B

    Safu mpya ya CCM kupatikana leo; Chongolo, Bulembo, Shigela hapatoshi nafasi Ukatibu Mkuu CCM

    Shigela ni mzuri ila ni time barred. Pia sasa tunaingia kwenye strategic politics. Pia naona kama kuna shida ya afya,mikikimikiki ya kizazi cha 2025. Pili ccm ifanye selective interview kwa makatibu wa mikoa na Wilaya watapata makada wenye sifa. Enzi zakuteua uzoefu bila elimu, um
  6. B

    Safu mpya ya CCM kupatikana leo; Chongolo, Bulembo, Shigela hapatoshi nafasi Ukatibu Mkuu CCM

    Viongozi wengi wameonyesha udhaifu kwenye nafasi zao Inabidi çcm ifanye overhaul, kuleta Viongozi watakaoweza kuongea lugha moja na new generated voters wa 2024, 2025 to 2030 ambao ni threat kwa ccm na ni wengi sana. Wenye uzoefu wakae pembeni kuwafundisha Viongozi wapya vijana wasomi. Katibu wa...
  7. B

    ITV ilipofunguliwa mwaka 1994

    Mimi naikumbuka Panasonic top dome, nilinunua laki tatu na sitini mwaka ' 93 nilikuwa naangalia KBC kenya, itv ilikuja baadae, na kupata itv ilibidi ufunge kitu kinaitwa crystal! Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
  8. B

    Tetesi: Nyumba ya mjane wa Balozi John Rupia Katibu Mkuu Kiongozi (mstaafu) yadaiwa kupigwa mnada

    Kama mkopo ulichukuliwa na kampuni yao hapo hakuna kupona, ila kama mkopo ulikopwa na mzee rupia kama individual person, hapo bima inawajibika kulipa life insurance ku offset deni! Pili msimzodoe msaidieni kimawazo kusolve hili jambo Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
  9. B

    Waziri Mwingulu: Miongoni mwa Watanzania milioni 62, ni Watanzania milioni tatu tu ndio wanalipa kodi

    Aisee ni kweli, mwamposa amejenga jengo la mabilioni ya pesa. Je kwa vyanzo vipi? Nadhani lazma uchunguzi ufanyike, inawezekana akaunti za makanisa zikatumika kuficha pesa chafu kwa sababu sadaka ni unquestionable, na haidaiwi kodi. Mambo mengi yamepitwa na wakati Sent from my SM-T285 using...
  10. B

    Waziri Mwingulu: Miongoni mwa Watanzania milioni 62, ni Watanzania milioni tatu tu ndio wanalipa kodi

    Waziri angetuambia hao wasiolipa kodi wana biashara? Je wanafikiwaje? Je wanafanya makisudi au hawana kazi, au biashara za kufanya hawana. Nilitegemea Waziri angetuambia idadi ya biashara na ngapi hazilipi kodi Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
  11. B

    Sakata la Vijana wafupi kukataliwa kujiunga na Jeshi la Polisi lamfikia Rais Samia

    Kama sikosei kanuni toka mkoloni ni kuchukua vijana urefu 5'8 . Ndio maana utaona askari wa enzi za mkoloni walichukuliwa makabila yenye watu warefu, wale wafupi walichukuliwa waliomaliza form I've enzi hizo na walianzia cadet officer! Mwenye zaidi atujuze! Sent from my SM-T285 using...
  12. B

    Tetesi: IMEVUJA: Makatibu CCM washiriki kughushi nyaraka saa 7 usiku Moshi kuweka uhalali wa uozo wa zabuni dhidi ya Mwita

    Wewe ni moja wa wajumbe, ulielewa asali pori Usiingie ngoma ya wajinga usiku.[emoji45]
Back
Top Bottom