Aaaah Masiya ndugu yangu JPM hana nia njema na nchi hii, angekuwa na nia njema asingenunua Wabunge wa upinzani (fact zipo). Asingekamata makinikia angeongea nao kwanza, kwa level ya PhD siamini kuwa alikuwa hajui kuhusu mikataba ya MIGA. Asingenunua ndege bila kushirikisha Bunge kwani amekuwa...
Mimi sijaona fact nimeona comparison analinganisha na Mobutu, Mugabe, Saddam nk, lakini sijaona fact. Angetuambia nani alisign mikataba ya MIGA kuwakilisha TZ? na lini? na wapi ilisainiwa? hizo ndiyo fact. Kwanini waliposhauliwa kujitoa hawakufanya hivyo badala yake wakakimbilia kukamata...
Leo umenifurahisha sana kwa andiko lako zuri la uchunguzi, omba wasilione Polisi wetu maana nahofia watavunja vunja Camera yako, laptop na mkoba unaobebea vifaa vyako vya kazi wataondoka nao, watapekua nyumba yako na mwisho watakupima mkojo, maana unataka kuwaharibia uteuzi. wabeja sana Mulungu...
Kama Gazeti limeandika uongo kwanini usiwashauri maafisa wa MAELEZO kulifungia gazeti hilo na kama hawatalifungia au kulipa onyo au karipio maana yake limeandika ukweli.
Nini kifanyike? Afanye nani? hii hii serikali iliyoshindwa kudhibiti huo upoteve, serikali inayokumbatia wezi kila siku! kinachotakiwa kufanyika kiko wazi ni serikali ya ccm kuondoka madarakani, period.
FaizaFoxy
FF na wewe umeanza kuandika hivi kama mtu wa Lumumba? wewe nakujua unaandika masuala mazuri ya uchambuzi au nawe umechanganyikiwa na kasi ya UKAWA nini? tusiandikie mate na wino upo tusubiri October tutapata majibu.
Hata wewe umeanza kujitoa ufahamu au umeandika tu bila kujua, ndani ya CHADEMA kila kitu huwa kinaenda kwa vikao vya chama, hakuna kinachoenda kwa fikra za mwenyekiti kama ccm.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.