Recent content by Bujibuji mafuriko

  1. Bujibuji mafuriko

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Umeelezea Kwa hekima na busara Sana ila mkuu ally, ushabiki huwez uficha mfukoni. Mm nacheki recorded za man united Hadi zinaisha Sasa. Naruidiaga Sana. Sasa Kwanini kocha haoni makosa Kwa mfano delot hafai, kwann anampa task ya right back??
  2. Bujibuji mafuriko

    Kijana jitunze, kuteremkia miaka 40+ kuna zimwi linaitwa Kisukari na Presha. Mkeo atakuvumilia?

    Hili zimwi siijui kama nitapona.. Niko addicted na alcohol saa 12 jioni nimepiga tizi jasho kibao. Chakushangaza saa 3 usiku nipo kwenye bia. Ila nikaamua kulamba konyagi na ndimu za kutosha. Mtaalamu hapo vipi. Leo nimepiga konyagi nikichanganya na juis ya limao. Japo nahisi kilevi ila limao...
  3. Bujibuji mafuriko

    Green Card lottery ni tarehe 6 Oktoba 2022, kaeni mkao wa kula

    Green card rottery washindi wanatakiwa kwa mkupuo mmoja kwa Mwaka mmoja wanachaguliwa wangapi kama washindi. Let say wameomba 5000 tanzanians
  4. Bujibuji mafuriko

    Green Card lottery ni tarehe 6 Oktoba 2022, kaeni mkao wa kula

    Hili tangazo mod alipeleke kwenye matangazo
  5. Bujibuji mafuriko

    Green Card lottery ni tarehe 6 Oktoba 2022, kaeni mkao wa kula

    Jamaa anadai wanaenda lkn pia niliishawahi kuwa driving school Moja nanmzee mmja nikasikia alikuwa anajiandaa kushuka USA.
  6. Bujibuji mafuriko

    Green Card lottery ni tarehe 6 Oktoba 2022, kaeni mkao wa kula

    Hahahahah...siku hizi Mkuu tunakwenda ukitaka unarejea na sawa tu. Hata tukiwa huku
  7. Bujibuji mafuriko

    Green Card lottery ni tarehe 6 Oktoba 2022, kaeni mkao wa kula

    Nina 50 yrs ndoto hii naweza ingia kweli?? Na je unapokelewa na nani?? Vipi pesa za kuanzia maisha??
  8. Bujibuji mafuriko

    Hapa nchini ukipiga namba za dharura wanafika kusaidia?

    Au ndio Ile unapiga inasaidia. Polisi wanafaida sana Kwa majukumu yao
  9. Bujibuji mafuriko

    Green Card lottery ni tarehe 6 Oktoba 2022, kaeni mkao wa kula

    Wabongo wamekosa shule na kama wamekwenda shule walikuwa na shida ya kukua. Mm Leo nitatafuta kazi mbili USA Moja wapo ni majumba ya starehe nilale hukohuko, mwishoni na make mane nalala pazuri . Sio USA peke yake. Popote developed world
  10. Bujibuji mafuriko

    Hapa nchini ukipiga namba za dharura wanafika kusaidia?

    Mkuu Sema Kuna nini hatukomoani hapa
Back
Top Bottom