Recent content by BUHUMULO

  1. B

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    bado watu wengi hajajua kwamba baadhi ya dawa hizi zinatengenezwa hapa hapa kwa urahisi kwa sababu chemicals zake ni rahidi kuzipata kuliko nchi zingine kama africa kusini au china maana kule wanasheria za kulinda matumizi mabaya ya dawa au kemikali hizo.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    naomba contacts zako.email au simu
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji excavator

    Kama kuna mtu anajua mahali ambapo naweza kupata excavator ya msaada lakini ni kalipia gharama ndogo. Naomba msaada maana bei za laki 8 kwa siku sitaweza. Nataka kuchimba bwawa la samaki maeneo ya vikindu.nina mil moja. Najiuliza je mkurugenzi wa wilaya hawezi kusaidia kama tuko kikundi? Naomba...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Red Brigade: Kikundi cha mauaji, watekaji, wamwagia sumu na "nchi kutotawalika"

    nimesoma nashangaa ila nikumbushe tena mara hii nitatoa mfano utasaidia kuelewa kwamba kama ilivyo dunia angani na mungu hakuwahi kuiachia pamoja na uzito wake binadamu tukiwa humo.mungu ndiye anayeitunza amani na kulinda watu wake maana unyama unaofanyika unaamusha hasira ya mungu
  5. B

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    uongozi ni dhamana sio kwa watu tu hata mbele za mungu. Inasikitika kuona haya yanatokea katika makundi haya hapa chini. Hata kama ni tetesi basi kazi ya serikali ni kuzichunguza kama haiwezi lazima tutafute sababu ya kutofanya hivyo:- 1. Wasanii kuhusishwa na kusafirisha na kutumia nani...
  6. B

  7. B

    JamiiForums Tanzania Ufisadi mwingine hifadhi ya Ngorongoro .

    Kitu kimoja tutambue tunapokosa maadili ya uwajibikaji, elimu, afya na siasa vikafanyika chanzo cha watu kumwaga damu yao juu ya ardhi. Hii ni laana juu ya nchi. Mungu atawajibisha kila muhusika ni makosa makubwa kudhani kwamba tigo na voda wana server zao kutunza kumbukumbu eti mungu hana...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Siri za Mwigulu Nchemba kutengeneza kesi feki dhidi ya Dr Kitila Mkumbo na Mwita M. waitara zavuja

    Nchi yoyote kwa kiwango chochote kile owe maskini,Tahiti au wary wake maskini au Tahiti. Kama nchi hiyo wary wake hawaamini UWEPO WA MUNGU NI HATARI SANA MAANA HUKUMU YAKE IKO PALE PALE!
Back
Top Bottom