Recent content by Bugengese

  1. B

    JamiiForums Electric motor for rice mill

    Habari zenu waaungwana.Ninapenda kuchukua nafasi hii kuomba msaada wa kujua ubora,aina pamoja na bei ya motor za kuendeshea mtambo wa kukoboa mpunga(especially hp 40). Ahsante.
  2. B

    JamiiForums Maandamano yafanyika nchini Afrika kusini kupinga kauli ya Makonda kuhusu ushoga

    Suala la ushoga tulifumbie macho.Duh!
  3. B

    JamiiForums Maandamano yafanyika nchini Afrika kusini kupinga kauli ya Makonda kuhusu ushoga

    Mkuu kwa hili ninaungana na mkuu wa mkoa wa Dar haiwezekani tukaruhusu uchafu huu.
  4. B

    JamiiForums Kwanini Waafrika Tunahitaji Misaada tuko nje ya Bara letu?

    wenzetu walipambana tangia karne ya kumi sisi tunataka nusu karne tu tuwafikie?
Back
Top Bottom