Una uhakika kwa taarifa yako nusu ya wapiga kura wa nchi hii wapo kanda ya ziwa na mgharibi ninaposema hivyo namaanisha ukileta ukanda kama mlivyozoea mnaumia mapema, alinselema halija alinselema halija no wimbo maarufu sana mikoa ifuatayo Mwanza,Kagera, Shinyanga,Mara, Geita, Simiyu, Tabora...