vitu vingine vinaweza kuwa ni vina saba vya wazazi huchangia tabia iyo kwa mtoto kwamaana mtoto ni mjumuisho wa sifa 23 kwa kila mzazi lakn pia kulia lia ovyo kwa mtoto inaweza kuwa ni deko ama kuashiria labda kuna tatizo linamsibu kwamaana mtoto hutumia kulia kama njia pekee ya kuashiria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.